2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hii world cup namuona kabisa Portugal akienda kubeba
Cristiano ronaldo anaenda kukamilisha ndoto ya kubeba world cup
1000772225.jpg

Sioni kwa namna yoyote ile hawa Wakibeba hii Ndoo, wanaweza kuishia robo.

Kazi itakuwa kubwa sana.
 
1000770534.jpg

Katika uwanja huu wa Estadio BBVA (utakaojulikana kama Estadio Monterrey wakati wa mashindano), zitachezwa jumla ya mechi nne.

Ratiba rasmi ya mechi hizo ni kama ifuatavyo:

Mechi za Hatua ya Makundi (Group Stage)

Juni 14, 2026: Sweden VS Tunisia (Kundi F)

Juni 20, 2026: Tunisia VS Japan (Kundi F)

Juni 24, 2026: South Africa VS South Korea (Kundi A)

Mechi ya Hatua ya Mtoano (Round of 32)

Juni 29, 2026: Mshindi wa Kundi F (1F) dhidi ya Mshindi wa Pili wa Kundi C (2C)
 
1000770537.jpg

Uwanja wa Mercedes-Benz Stadium (unaojulikana kama Atlanta Stadium wakati wa mashindano haya) utakuwa wenyeji wa jumla ya mechi 8.

Ratiba kamili ya mechi zitakazopigwa kwenye uwanja huu kulingana na Ratiba ya FIFA ya Atlanta ni kama ifuatavyo:

Mechi za Hatua ya Makundi

Juni 15, 2026: Hispania vs. Cape Verde (Kundi H)

Juni 18, 2026: Jamhuri ya Cheki vs. Afrika Kusini (Kundi A)

Juni 21, 2026: Hispania vs. Saudi Arabia (Kundi H)

Juni 24, 2026: Morocco vs. Haiti (Kundi C)

Juni 27, 2026: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vs. Uzbekistan (Kundi K)

Hatua za Mtoano
Julai 1, 2026: Mechi ya Hatua ya Mtoano ya Timu 32 (Round of 32)

Julai 7, 2026: Mechi ya Hatua ya Mumi na Sita Bora (Round of 16)

Julai 15, 2026: Mechi ya Nusu Fainali (Semifinal)
 
Picha halisi itaonyesha katika game ya kwanza kwa argentina na algeria ni game ambayo argentina anapoteza tena
Algeria wakoje?
Sema hawajawahi kufika mbali compare na Morocco, Senegal au Ghana(Kina Semenyo) watafanya jambo.
 
Kundi la ghana unalionaje bwashee alafu ivorycoast inabidi ampige curacao chuma nyingi ili akikutana na equador apaki basi
Nakubali kundi la Ghana ni gumu sana.

Ila najua Croatia na Panama hawatamfunga.
Atapoteza kwa England tu.
 
Back
Top Bottom