2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

1000772621.jpg

Nani atapata top scorer 2026?
 
1000773116.png

1780145039262.jpeg

Adidas Trionda.
Mpira utakaotumika World Cup.

Sifa kuu 4 za huu mpira.

1. Una Paneli 4 Tu: Ndio mpira wa kwanza wa Kombe la Dunia kuwa na paneli nne tu zilizounganishwa kwa joto. Hii inaufanya uwe duara kamili, upae vizuri hewani, na usinyonye maji yakivuja uwanjani.

2. Una Sensor ya Ndani (Chip): Una kifaa kidogo cha kiteknolojia ndani yake kinachotuma taarifa mara 500 kwa kila sekunde. Hii inasaidia marefa wa VAR kutambua offside na magoli kwa usahihi mkubwa.

3. Una Betri Inayochajiwa: Tofauti na mipira ya zamani, mpira huu una betri ndogo inayoweza kuchajiwa kabla ya mechi na inadumu kwa saa 6 uwanjani ili kuwasha sensor ya ndani.

4. Una Ngozi ya Grip (Mabonde): Juu ya ngozi yake kuna vishimo na michirizi midogo inayomsaidia mchezaji kuwahi kuudhibiti (control) na kipa kuudaka kwa urahisi hata kukiwa na mvua.
 
View attachment 3597591

View attachment 3597592

Technology imekuwa sana!!
 
Inatukumbusha Jabulani
 
View attachment 3596880
Ratiba kamili ya Hatua ya Makundi hapa Vancouver

Juni 13: Australia vs. Uturuki

Juni 18: Kanada vs. Qatar

Juni 21: New Zealand vs. Misri

Juni 24: Kanada vs. Uswisi

Juni 26: New Zealand vs. Ubelgiji

Baada ya hatua ya makundi, uwanja huu pia utakuwa mwenyeji wa mechi moja ya Hatua ya 32 Bora (Mechi 85 mnamo Julai 2) na mechi moja ya Hatua ya 16 Bora (Mechi 96 mnamo Julai 7), ambapo nchi zitakazochuana zitajulikana kulingana na matokeo ya makundi.
Kiwanja kiko katikati ya mji.
 
View attachment 3597170
Uwanja wa Miami Stadium (Hard Rock Stadium) utakuwa wenyeji wa jumla ya mechi 7.

Ratiba kamili ya mechi hizo ni kama ifuatavyo:
Hatua ya Makundi (Group Stage)

Juni 15, 2026: Saudi Arabia VS Uruguay (Kundi H)

Juni 21, 2026: Uruguay VS Cabo Verde (Kundi H)

Juni 24, 2026: Scotland VS Brazil (Kundi C)

Juni 27, 2026: Colombia VS Portugal (Kundi K)

Hatua za Mtoano (Knockout Rounds)

Julai 3, 2026: Hatua ya Timu 32 (Mshindi wa Kundi J dhidi ya Mshindi wa Pili wa Kundi H)

Julai 11, 2026: Robo Fainali (Quarter-final)

Julai 18, 2026: Mechi ya Kusaka Mshindi wa Tatu (Bronze Final)
1780297708555.png

Kwangu naona kama ni miongoni mwa viwanja vyenye mechi ngumu sana.
 
Back
Top Bottom