2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Morroco sio waafrika , Africa ni bara la giza na hakuna team yoyote ya Africa itafika mbali
Kumbe Morocco inapatikana bara gani?
Uafrika sio rangi bali ni bara mkuu. Ndio maana hata marekani kuna black wengi tu lakini wanaitwa wamarekani weusi na sio waafrika.
Ukisema Wamoroko sio waafrika inamaana utasema wamisri, Tunisia, Algeria na nchi zingine za northern africa sio waafrika
 
😂😂😂 yaani hadi hii world cup iishe ntakuwa natembea huku nasinzia....imagine saivi nipo macho na saa mbili kamili asubuhi natakiwa niwe kibaruani🙌
It means, hata nguo huwa unafua usiku kwa usiku 😀😀
 
Star boi
IMG-20260614-WA0046.jpg
 
Back
Top Bottom