2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Lumen Field (USA)​

1781170655805.png


Seattle - 69,000 spectators - Its two large stands are designed with curved roofs to catch and bounce the noise of the crowd towards the field, thus creating an atmosphere of imposing acoustic pressure for rivals.
 

Estadio Azteca (Mexico)​

1781170692880.png


Mexico City - 83,000 spectators - It hosted the opening match of the 1970 World Cup between Mexico and the Soviet Union and can boast of being the only stadium in the world to host matches in three different World Cups: 1970, 1986, and 2026.

Na Ndio dimba la Ufunguzi leo.
Mexico VS South Africa
 

Akron Stadium (Mexico)​

1781170789843.png


Guadalajara - 48,000 spectators - Its architectural design simulates a grass-covered volcano, and its suspended white roof resembles a cloud floating above the crater. Furthermore, it is an ecological landmark because it collects rainwater for its maintenance.
 
Tena watolewe mapema tu pamoja na marekani.
Brazili wanashida Gani Tena muwasagie kunguni hivyo?? Kwa Marekani ya Trump it's okay.. labda muongezee na South Africa watoke mapema kwenye makundi tu warudi kwao waungane na wenzao kwenye maandamano ya kupinga wahamiaji wa kiafrika, plus na nchi za kiafrika za kiarabu kdgo Misri ya Mohamed Salah...
So Leo ufunguzi, I bet, Mexico2-1...
Na yule refarii wa kisomali aliezuiliwa kuingia Marekani, kala shavu Mechi UEFA Super cup na nadhani itakuwa historia mechi chini UEFA kuchezeshwa na Muafrika.
 
Ata ingukuwa mie siruhusu msomali nda i ya nchi yangu.
Usa hana kosa mwenye kosa fifa
Kumbe na wewe ndo walewale mkuu, yule refarii anaenda kufanya tu temporary job na kurud na unaambiwa ana valid visa.. na fifa still hawakwepi lawama, coz km wangeshindwa kbs basi wangebadili ratiba za mechi zake achezeshee mexico na Canada na sio ku give up kabisa inatoa taswira mbaya kisoka
 
Back
Top Bottom