Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 5,909
- 14,969
Ni mojawapo ya madhara ya kuona faida pekee bila kuangalia hasara.Kweli wenzetu mpira upo kwenye DNA
Haishangazi kuwaza kwanini Mugabe alikuwa tayari kupeleka mabinti wa nchi yake Brazil ili wakapewe mimba warudi Afrika wazae watoto ili kizazi kijacho kuwe na vipaji kama Brazil
Lakini hapa ni kama mzee aliwaza kwa kuangalia angle moja. Aliona nafasi ya mwanaume kurithisha vinasaba kwa mtoto.
Hakuwaza maybe ingewezekana pia mtoto angechukua tabia za mama badala ya kuwa mchezaji mpira kama alivyotarajia, mtoto angekuja kuwa mwizi?