Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 2,825
- 5,058
Aisee huyu jamaa ni level nyingine, kaisumbua sana beki line ya Brazil, na speed yake nayo hatari na nusuKwenye Afconhakuwepo naona ni usajili mpya alikiwasha ile mbaya jana
Aisee huyu jamaa ni level nyingine, kaisumbua sana beki line ya Brazil, na speed yake nayo hatari na nusuKwenye Afconhakuwepo naona ni usajili mpya alikiwasha ile mbaya jana
Brazil anaishia 32 boraBrazil ameonesha mpira wa kawaida. Siwaoni wakifika nusu.
Hata spain 2010 opening game alifungwa na switzerland the rest games akashinda akachukua world cup, hapa tunazungumzia spain ambayo 2008 ilichukua euro,2010 world cup, 2012 ikachukua euro tena,Bado mapema sana, kumbuka Argentina 2022, mechi ya kwanza walifungwa na Saudi arabia
Wazee wa kurekebisha nyashiNimeamka niwaangalie Mloganzila na Australia
Mkuu,Spain alifungwa na Switzerland Kwenye opening match ya Group HHata spain 2010 opening game alifungwa na Chile the rest games akashinda akachukua ubingwa, ika brazil ya sasa ni mbovu mnooo
Mkuu hebu wewe wakosoe hao wachambuzi wa JF kwa kuweka uchambuzi wako ili sisi tujifunze kupitia kwako.Wachambuzi wa JF bana
nimegundua kwanini mpira bongo hautokuja kuendelea kamwe
Yeah uko sahihi, kwenye group hilo hilo chile alikuepo piaMkuu,Spain alifungwa na Switzerland Kwenye opening match ya Group H
Hiyo mechi nakumbuka Spain walidominate game kwa 72% Ball possession.
Haitakua kitu cha ajabu sana, Historia mpya itaandikwaVipi kama bingwa mwaka huu itakuwa timu ambayo haijawahi kushinda world cup?
😃😃Kazi yao maarufu baada ya hair plantWazee wa kurekebisha nyashi
Brazil jana imeonyesha hata nusu fainali inaweza isifike kabisaHaitakua kitu cha ajabu sana, Historia mpya itaandikwa
Argentina mtatoboa kwa algeria na Austria?Bado timu zangu hazijaanza, Germany, Argentina, Netherlands hao ndio wabishi