2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Brazili wanashida Gani Tena muwasagie kunguni hivyo?? Kwa Marekani ya Trump it's okay.. labda muongezee na South Africa watoke mapema kwenye makundi tu warudi kwao waungane na wenzao kwenye maandamano ya kupinga wahamiaji wa kiafrika, plus na nchi za kiafrika za kiarabu kdgo Misri ya Mohamed Salah...
So Leo ufunguzi, I bet, Mexico2-1...
Na yule refarii wa kisomali aliezuiliwa kuingia Marekani, kala shavu Mechi UEFA Super cup na nadhani itakuwa historia mechi chini UEFA kuchezeshwa na Muafrika.

Argentina 💪
Morocco 💪
 
Enzi za kina shilavet... Mweee jana hamna kitu yaani ingewezekana unabadili backline yoteee!!
Wee magoli mawili mnafungwa kwa mpira wa kupenyezwa unasafiri zaidi ya mita 40....mabeki hawapo serious kabisa.
Ila yule forward wao namba 19 mgongoni angalau anajituma . Yule dogo alikuwa newcastle, amoron jana sijui walimnywesha juice ya utopwinyoz 🤣🤣🤣🤣
Kalepwetaaaa kukaba hakabi mpira akiwa nao anajirusha tuu.
Hawapiti group stage
 
Nianze kusogea taratibu banda umiza na shuka langu mapema nikitoka banda umiza naunga kanisani
 

Attachments

  • FB_IMG_1781359027029.jpg
    FB_IMG_1781359027029.jpg
    89.3 KB · Views: 10
Kombe la 2022 lilikuwa rigged sana na FIFA i hope awamu hii tutashuhudia ushindani sahihi wenye mzani sawa katika maamuzi.

I mean hatutegemei tena kuona mbeleko ya penati za kuibeba timu fulani eti kwakua kuna mchezaji fulani nyota au kwasababu zingine zozote.

Nategemea equal and fair treatment kwa kila timu.
 
Back
Top Bottom