Dr Shekilango
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 192
- 117
Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha.
Lakini kwa maoni yangu kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa CCM iachane na Rais Samia tu hafai kuongoza chama hicho na Nchi amalizie muda wake na aende tu.
Sasa hawa ndo wanaotajwa sana kwenye kiti cha Urais 2025 au 2030.
1. Philipo Mpango.
2. Josephat Gwajima.
3. January Makamba
4. James Mbatia
5. Zitto Kabwe
6 Freeman Mbowe
7. Tundu Lissu
8.Dr Wilbroad Slaa
9. Dr Mwigulu Nchemba
10. Hussain Ally Hassan Mwinyi
11. Kasim Majaliwa
12. Dr Tulia Akson
Twende na yupi kwa maslahi ya Taifa.