adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,683
- 7,986
Watu wanaanza taratibu kuingia kwenye mfumo wa PSGChelseaa wameanza na mbwembwe
A few moment later[emoji1787]
π€£π€£Watu wanaanza taratibu kuingia kwenye mfumo wa PSG
Kwa trumpKwani game inachezewa nchi Gani mbona mchana kabisa?
Tumetupia kamoja ChelseaFullback ya kisasa, attacking minded
Huyu jamaa anajua sana aisee πEnzo anapenda ukorofi