Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,535
- 61,979
- Thread starter
-
- #41
Hii ni maandalizi ya kombe la dunia mwakani hapohapo marekani 2026Wamekosea location.
USA siyo wanazi wa football(soka).
Wangepeka England, Spain, Brazil, Germany au Morocco, au Saudia na Qatar pangejaa kusingekuwa hata na sehemu ya kwenda kujamba.
Anyway, Aziz atafunga na ku assist.
Cc:
Mhasibu.
Azam wanarusha hii michuano ?
Marekan hip-hop, basketball,siasaHii ni maandalizi ya kombe la dunia mwakani hapohapo marekani 2026
Hawa ndugu zetu wa africa wasiposhinda hii game watakuwa wanatuaibisha.Mtu unapata nafasi ya kufunga, haya funga, unapiga kama Kibu Denis.
Na penalty wamekosaHawa ndugu zetu wa africa wasiposhinda hii game watakuwa wanatuaibisha.
😁😁😁 Kama kile cha frem namba moja pale ndio peponi penyewe tunapo ambiwa ktk vitabu vya dini without doubtsViwanja vyao uki compare na vyetu huku shimoni ni mbingu na ardhi
Sijui wamewaza nini but miaka minne ni mingi sana , na vipi kuhusu lile la AFL ambalo ufunguzi wake ulifanyika tz na mwenyeji akawa simba limeishia wapi !??FIFA wameshajaribu mara nyingi kulipaisha hili kombe wamehsindwa, hata hili litajifia
Next time itakua simba.. vipi wametumia vigezo gani kuzipata timu nne za africaViwanja vitakavyotumika;
1. Mercedes Benz Stadium - Atlanta Georgia View attachment 3352618
2. TQL Stadium - Cincinatti
View attachment 3352620
3. Bank of America Stadium - Charlotte
View attachment 3352621
4. Rose Bowl Stadium - Los Angeles
View attachment 3352622
5. Hard Rock Stadium - Miami
Huu ndio uwanja wa ufunguzi, una parking kubwa sana ya magariView attachment 3352626
6. Geodis Park - Nashville
View attachment 3352627
7. Metlife Stadium - New York
Uwanja wa Fainali
View attachment 3352633
8. Camping World Stadium - Orlando
View attachment 3352635
9. Inter&co Stadium - Orlando
View attachment 3352636
10. Lincoln Financial Field - Philadelphia
View attachment 3352637
11. Lumen Field - SeattleView attachment 3352638
12. Audi Field - Washington
View attachment 3352639