Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Pole, kuna mkaka huyo yeye huwa abet, ila akisema hii timu inashinda lazima inashinda. Leo kasema Chelsea inashinda, nikamuuliza tutatoka kweli kwa hawa PSG akasema 100%. Naona sasaLeo nimejilipua 400k
Nae da kulala zangu sijui ata kama usingizi nitaupataKaa vizuri
Utaenda na wewe😂😂
Huwezi ukatesa kila sikuBiashara imeisha. Real Madrid na Inter Milan hazikuwa kipimo sahihi cha psg. Walipimwa na Bayern na sasa wamepimwa na Chelsea. Hiki ni kipimo sahihi kabisa kwa psg.
Mwee isije ikawa huyo jamaaa tunamfahamu wote maana kuna fala mmoja alisema chelsea atashinda hii mechi nikamwambia wee ebu wacha ujinga...psg timu imekamilika kabisa hii.Pole, kuna mkaka huyo yeye huwa abet, ila akisema hii timu inashinda lazima inashinda. Leo kasema Chelsea inashinda, nikamuuloza tutatoka kweli kwa hawa PSG akasema 100%. Naona sasa
Kuna wadau tuliwambia Chelsea kwenye fainal hawatabiriki naona wameona ukweli ulipoGOAL! Joao Pedro chipps the ball into the net as Palmer assists! Chelsea 3-0 PSG
View attachment 3404931
Daaa itakuwa noma sana.PSG anaweza pigwa mkono
Pole sana, usibeti kwa mazoea. Chelsea wana uzoefu mkubwa kwenye mechi za kimataifa kuliko PSGHawa jamaa wa psg wasengez sana hawajaanglia mechi sa chelsea kuona kuwa palmer ndio kila kitu chelsea
Nadhani Chelsea alijiandaa kucheza dhidi ya PSG ila PSG hawakujiandaa kucheza dhidi ya Chelsea bali walijiandaa kucheza fainali. Walikariri kuwa wao ni bora zaidi, ila Chelsea walijipanga kuwakabiri PSG kwa kuchambua mapungufu yao na kuyatendea kaziBiashara imeisha. Real Madrid na Inter Milan hazikuwa kipimo sahihi cha psg. Walipimwa na Bayern na sasa wamepimwa na Chelsea. Hiki ni kipimo sahihi kabisa kwa psg.
Pole sana, usibeti kwa mazoea. Chelsea wana uzoefu mkubwa kwenye mechi za kimataifa kuliko PSGHawa jamaa wa psg wasengez sana hawajaanglia mechi sa chelsea kuona kuwa palmer ndio kila kitu chelsea
😁😁😁Tuliwatahadharisha humu mkatupuuza.Laki 4 yangu imekwenda na maji
Yanga mbwa Koko hanusi huu motoYa yanga😂