UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 739
- 905
Senegali Wana wachezaji wenye majina makubwa na uwezo mkubwa, ila duuuh sijui kocha anawaambiaga nn asee...
Kuna waqt waweza kutamani iwe ARVHii VAR kwa Afcon waitoe tu, ujinga mtupu...
Sijui mwamuzi kaona nini nmeshindwa kuelewaKama katoka si aliluka kichwa kupiga mpira
Nani huyu?View attachment 2095398
Huyu muhuni hakuitwa?
Diatta, alikinukisha sana AFCON ya 2019Nani huyu?
Ngoja tuoneNimehamishia majeshi Malawi
Naamini hawatapata Red Card watapambana