2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Sasa huyu kocha wa Senegal si akae tu chini.Mechi ina ugumu gani kwake wakati opponent ana makadi dollar 2.

Hovyooo
 
Mambo ya kulazimisha team maarufu zipite kwa kuangalia faida ya kipesa kwa kujaza uwanja ndo yameharibu haya mashindano.

Underdogs karibia wote wameonyesha uwezo kuliko ilivyotegemewa, kutokana na team kubwa zote kuonyesha kiwango cha chini wamelazimika kuzibeba kila zinapocheza ndomaana mambo yanakuwa hivi.

Kubeba team 5 kwenye mashindano ni lazima igundulike kuliko kama wangekuwa wanajaribu kuibeba team moja.
 
Senegal wanachechemea tu wala hawana pace, wakipata timu nzuri kama Tunisia, Cote D'Ivoire au Mali ndio itakuwa mwisho wao.

Halafu hii VAR imechangia kuharibu sana haya mashindano kwa kadi nyekundu kuvunja rekodi na sidhani kama huko nyuma hili limewahi kutokea.

It's too much and utterly boring.
 
Back
Top Bottom