ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Orando Pirates, Banda yeye yupo Simba. zote timu kubwa
Ngoja Tuwanyooshe Hawa Waarabu, Ila Malawi wana Morali sanaaa Refa Asipo Wavuruga.
Hivi ukitoka Tu mbeya unaingia Malawi



Orando Pirates, Banda yeye yupo Simba. zote timu kubwa



Shida ni kwamba naona Malawi tuna lengo la kupaki bustusipopaki bus hawa tunawamudu
Labda Sudan ya KusiniHivi sisi tunamshinda nani mpira kwa Africa kwa sasa, maana hawa Comoros, Ethiopia Malawi walikuwa vibonde wetu miaka iliyopita.
Utashangaa VAR inaanza nongwaWasije tena kuibeba Morocco, Malawi katekenya mtu.
Huyu Mhango anachezea Club Gani? Haya mashindano kawa wa moto sanaa
Malawi wanakaa nyuma halafu wanashambulia kwa kushtukizaShida ni kwamba naona Malawi tuna lengo la kupaki bus
TFF ni watu wa hovyo sana..Simba imekuja vizuri inafanyiwa kila aina ya hujumaHivi sisi tunamshinda nani mpira kwa Africa kwa sasa, maana hawa Comoros, Ethiopia Malawi walikuwa vibonde wetu miaka iliyopita.
Dah, yaani unaangalia mpira ukifikiria Stars unasikitika. Tumekomalia Simba na Yanga.Labda Sudan ya Kusini
Dah, yaani unaangalia mpira ukifikiria Stars unasikitika. Tumekomalia Simba na Yanga.
Aliyeanzishwa hapo ni John Banda, Peter Banda wa Simba yupo benchiOrando Pirates, Banda yeye yupo Simba. zote timu kubwa
Namwona J.Banda tu simuoni P. Banda au Simba tulipigwa?
Huyu refa ni raia wa Burundi, kuna mechi alichezesha Simba na Kaizer Chiefs alituua sanaRefa alisha peta hii Offside
Timu haiwezi kuingiza wachezaji wote 28 uwanjaniNamwona J.Banda tu simuoni P. Banda au Simba tulipigwa?
Mtaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Banda ana Mida Yake Kaa kwa kutulia, Kuna Mcheza Kaitwa Hajagusa hata Pitch Ya Afcon wala Mpira wa Afcon hata wale ball boys wamegusa sana kuliko yeye