2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

licensed-image.jpeg

Huyu muhuni hakuitwa?
 
Safu ya ushbuliaji inachechemea sana upende wa Senegal, nadhani ni moja Kati ya team yenye magoli madogo ya kutengeneza inayopita kwenda hatua za mbele kwa bahati sana tangu hii michuano ianze.

Mpaka sasa hakuna shoot on target hâta moja licha ya CV kuwa pungufu.
 
Back
Top Bottom