ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
What a Goal
tusipopaki bus hawa tunawamuduNina imani na Malawi
Orando Pirates, Banda yeye yupo Simba. zote timu kubwaHuyu Mhango anachezea Club Gani? Haya mashindano kawa wa moto sanaa
Orlando Pirates,anajua sana..Goli tatu sasa kwenye michuanoHuyu Mhango anachezea Club Gani? Haya mashindano kawa wa moto sanaa
Zote timu kubwa😂😂ukibisha nenda Zanzibar kwa mguuOrando Pirates, Banda yeye yupo Simba. zote timu kubwa
Hawa Malawi nimewapenda bureHuyu mfungaji wa goli la Malawi anawajihi kama wa Jose Luis Miquissone
kama ni mtopolo ataanza ubishiZote timu kubwa😂😂ukibisha nenda Zanzibar kwa mguu
Wako vizuri ila wenzetu walivyohama CECAFA na kwenda COSAFA wakapata akiliHawa Malawi nimewapenda bure
Hawa Malawi nao sio saizi yetu sisi ccm starsOrlando Pirates,anajua sana..Goli tatu sasa kwenye michuano
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app