Hio concussion sio ya kitotoKipa vipi kapagawa?
Hii card sio,ya mwanzo ni sawaHii VAR kwa Afcon waitoe tu, uninga mtupu...
Wale wa kwenye VAR ndo wajinga waleHuyu refa hamna kitu
Inakera sana yaniHii VAR kwa Afcon waitoe tu, ujinga mtupu...
Hio concussion sio ya kitoto
Lakini kipa katoka nje ya eneo lakeHuyu refa hamna kitu
Kama katoka si aliluka kichwa kupiga mpiraLakini kipa katoka nje ya eneo lake
Inakera sana yani
Hapana, refa wa kati ndio mjinga. VAR wanamwambia refa wa kati akajiridhishe kuangalia tukio, sasa yeye kila akienda kuangalia tukio ni redWale wa kwenye VAR ndo wajinga wale