2020 CCM twende na Benard Membe mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2020 CCM twende na Benard Membe mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lancanshire, Feb 20, 2018.

 1. Lancanshire

  Lancanshire JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2018
  Joined: Sep 20, 2014
  Messages: 13,898
  Likes Received: 8,051
  Trophy Points: 280
  Habari za muda mabibi na mabwana!

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

  Karibuni kwa maoni yenu.
   
 2. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2018
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,145
  Likes Received: 14,360
  Trophy Points: 280
  Vipi kwa upande wa Chadema?
   
 3. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2018
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,145
  Likes Received: 14,360
  Trophy Points: 280
  vipi kwa upande wa Chadema
   
 4. K

  Kingsharon92 JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2018
  Joined: Aug 10, 2015
  Messages: 4,459
  Likes Received: 4,974
  Trophy Points: 280
  Hana lolote ni walewale tu yule mwingine alikuja kwa mbwembwe akatuacha na shida zetu kama kawaida
   
 5. Copenhagen DN

  Copenhagen DN JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2018
  Joined: Oct 5, 2014
  Messages: 5,776
  Likes Received: 7,832
  Trophy Points: 280
  Kwanini tusimweke Joti ama mchizi mox urais? Am sure utawala wao utakuwa na tija kuliko haya miphd Na mimaster holder ya kukariri iliyoshindwa kudeliver
   
 6. Lancanshire

  Lancanshire JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2018
  Joined: Sep 20, 2014
  Messages: 13,898
  Likes Received: 8,051
  Trophy Points: 280
  waulize wenyewe
   
 7. Kichaafulani

  Kichaafulani JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2018
  Joined: Feb 13, 2015
  Messages: 936
  Likes Received: 780
  Trophy Points: 180
  Kwa tikiti ya chama gani?
   
 8. Lancanshire

  Lancanshire JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2018
  Joined: Sep 20, 2014
  Messages: 13,898
  Likes Received: 8,051
  Trophy Points: 280
  humjuwi Membe vizuri wewe.
   
 9. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2018
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,573
  Likes Received: 4,766
  Trophy Points: 280
  bora membe mara mia moja. majuto ni mjukuu.
   
 10. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2018
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,145
  Likes Received: 14,360
  Trophy Points: 280
  wenyewe si ndio nyie?
   
 11. Lancanshire

  Lancanshire JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2018
  Joined: Sep 20, 2014
  Messages: 13,898
  Likes Received: 8,051
  Trophy Points: 280
  sasa hivi hata sisi wana ccm tunajuta sema ni kimyakimya hakuna anayesema kiukweli mwenyekiti ana kasoro nyingi .tunaongozwa kwa "mkono wa chuma"
   
 12. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2018
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 17,972
  Likes Received: 19,881
  Trophy Points: 280
  Membe anapita upande upi?
   
 13. Panga Makalikuwili

  Panga Makalikuwili Senior Member

  #13
  Feb 20, 2018
  Joined: Aug 30, 2016
  Messages: 168
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  Mbona 2020 mbali sana!! Si tufanye kama Afrika kusini tu.... Tumtafute Ramaphosa wetu hapa tukiwashe ndani kwa ndani.
   
 14. Copenhagen DN

  Copenhagen DN JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2018
  Joined: Oct 5, 2014
  Messages: 5,776
  Likes Received: 7,832
  Trophy Points: 280
  Tulia wewee
   
 15. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2018
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 16,234
  Likes Received: 25,078
  Trophy Points: 280
  Tunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi
   
 16. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2018
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,978
  Likes Received: 4,308
  Trophy Points: 280
  Mkuu vitu vingine unapaswa utafakari sana. Hivi unadhani kwamba Raisi Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM atajiweka kwenye mazingira ya CCM kuteua mgombea wa CCM mbadala wake? HUyu Magufuli ninayemfahamu au mwingine? Au hujaona tayari ameshajiwekea mazingira kwamba hilo lisiwezekane hata kidogo?
   
 17. kasulamkombe

  kasulamkombe JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2018
  Joined: Oct 3, 2017
  Messages: 2,222
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  huyo tena yatakuwa mambo ni yaleyele ya uswahili wa JK.inabidi akitoka huyu aingie mwingine tena ambaye hayupo kwenye system tena kama Baba Jesca.
   
 18. F

  FUSO JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2018
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 12,911
  Likes Received: 3,224
  Trophy Points: 280
  Hivyo vikao vya mikakati labda mkafanyie kuzimu
   
 19. wambagusta

  wambagusta JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2018
  Joined: Nov 28, 2014
  Messages: 1,708
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Uyo mzee wa madili kama kaka yake lakini poa tu maaana hata sisi tutanufaika nayo.kazi kazi tu mwambie ajianadae
   
 20. Ki Mun

  Ki Mun JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2018
  Joined: Oct 6, 2014
  Messages: 3,453
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  Tukaletewa kichaa!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...