Ushaama mkuu??Kuingia marekani mpaka unyoeendevvu
hata nikifa kesho poa, lakini Nitafurahi sana Mungu akisikia maombi yangu, huyo mnafiq apelekwe JEHANAMU!As if you will live forever!!
njia pekee ya clinton kushinda ni kutafuta jecha popote alipo
bado 6[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Trump 264
FARUDUME SIKUNIKAMWOGOPA NAKUHISI AYUKOSAWA ALISEMA SIJUII KUSHINDWA MAISHANA MWANGUU NAWAONYA FBI MTAKACHOTAKA KUFANYA ANY MTABEBA MSALABA..Trump alishawaonya kabisa kuhusu kufanya udanganyifu wa matokeo.
Eti Mtu ameshapiga hesabu na kuona anashinda halafu wanamhoji kuhusu kukubali matokeo kama atashindwa.
Afrika iige kwa trump.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah, acha tu Trump ashinde...awarudishe black wote huku...mwakani hatupati shida ya kuwatafuta kina Jay Z kwa ajili ya fiesta..tutazunguka nao mpk muleba
Kwa kweli ningefurahi sana kama Tz ingekuwa na vyama viwili vikubwa vya upinzani, ukiboronga tu muhula wako watu uchaguzi ujao tunakutoa, na pia kuwa ma katiba nzuri ya kuwabama watu watakaokuja kukaa miaka 5 tu ma kujijengea mazingira ya kupata pesa!!Hapo upo sahihi. Basi tu lakini huu ndio ukweli. Na bahati mbaya Chadema hawataki kabisa kukiweka chama kwenye sura ya kitaifa.