Kaka wa taifa, ninaimani wewe ni mtoto wa Mwl nyerere,kusema kweli umenichekesha sana. Binafsi nampenda Trump kwa sababu aliahidi kutuondolea shetani Museveni, jini Paulo kagame na pepo mchafu hyporite kanambe (read Joseph kabila)Dah, acha tu Trump ashinde...awarudishe black wote huku...mwakani hatupati shida ya kuwatafuta kina Jay Z kwa ajili ya fiesta..tutazunguka nao mpk muleba
Hapo upo sahihi. Basi tu lakini huu ndio ukweli. Na bahati mbaya Chadema hawataki kabisa kukiweka chama kwenye sura ya kitaifa.Tatizo la Tz hamna mbadala kwa sasa, kiundwe chama kipya chenye watu wasafi na waadilifu, sio chadema ya Mbowe na watu wake.
We acha tu mkuu,labda yale matatoo na kipini vitamsaidia maana watamuona hajabezi sana kwenye ImaniHakafu Mondi jina lake ni Nasib...
Huyu jambazi analopokalopoka,sri magu anajitegemea wakati kutwa kuomba omba,mkuu umemjibu vzuri..Angekua anataka kujitegemea angeomba kujengewa uwanja na msikiti???
Hiyo sovereignty haipo Iraq ?, haipo Afghanistan?, haipo Libya?Kwamba kuna watanzania wanaamini matatizo yao yatatuliwa na Trump? Katika zama hizi?
Nini maana ya sovereignty?
Tuanze mchakato wa kwenda kuishi Mars mkuu,hakukaliki tena hukuhuku putin,huku trump,kule mugabe,kule kagame kule museveni hapa magufuli kule dogo wa north korea
😀😀😉😉😉 Hahaaaaaa, haya bhana, jamaa kashut mpaka 264.....agh man we utakuwa Thomaso tu!!😛😱Nah....harudishwi mtu wewe.
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]
Superpower country wangekuwa wanatutengemea kwenye misaada tusingeaangaika nao kufuatilia uchaguzi wait!!! Umejiuliza wale waangalizi wa kimataifa nao wameenda?? kusimamia uchanguziHivi Wamerekani walifuatilia matokeo ya Lubuva kama tunavyofanya sisi?
PresidentIt's raining misery in Brooklyn....
Republicans will retain control of the senate.
And they have the House and very likely the White House.
Wowzers.