2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Lakini naona hapa Wajameni kuna California haijasomeka manake kama hawa watu wa Clinton wamefanya mawasiliano mazuri na mzee wetu yule anaefuta uchaguzi wanaweza kuibuka tukashangaa

Trump alishawaonya kabisa kuhusu kufanya udanganyifu wa matokeo.
Eti Mtu ameshapiga hesabu na kuona anashinda halafu wanamhoji kuhusu kukubali matokeo kama atashindwa.
Afrika iige kwa trump.
 
According to BBC mpaka sasa
Trump 244
Clinton 115
 
Fox hiyo
 

Attachments

  • 1478669264243.jpg
    1478669264243.jpg
    51.6 KB · Views: 40
Mkuu hahitaj kushinda majimbo yote hayo....Anahitaji jimbo moja tu la Michigan ambalo kuna kura kama 16 zitakazomfikisha 270 net.....exit Polls zinaonyesha kuwa anaongoza hadi sasa

Donald Trump ni raisi tayari wa 45 wa Marekani inasubiriwa kuwa confirmed kwa Hillary Clinton kutangaza kukubali kushindwa.
 
Bado mambo mtulie,
DT 48% HC 46%
Mbili tu,,zinapinduka mtaona
 
Back
Top Bottom