2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

upload_2016-11-9_9-30-45.png
 
Africa ni wavivu sana ndiyo tatizo hasa Tz ndiyo maana anacho kifanya Magufuli tunamwona kama dictitor ndiyo maana Magufuli alishtuka mapema akasema tujitengemee!!! Trump akiingia whitehouse misaada itapigwa ban
bora ipigwe ban ili tukome
 
Trump hawezi kuja kufanya kitu Tz mkuu, zile ni mbwembwe tu za kampeni.
**Team Trump**
Dunia lazma iendane na kasi ya Trump.
I know it... na wala sikuwahi kumuhofia na nimeshawahi kusema mara kadhaa hawezi kuwa threat kiasi hicho kama watu wanavyoamini ingawaje atakuwa ni mssumari wa moto kwa viumbe kama ISIS!
 
Watanganyika mnaona lakin wenzenu wanavyobadilisha vyama? Nyie mmekomaa na chama kimoja tu. 2020 komaeni bwana. Na bahati nzuri 2020 chaguzi za Tanzania na US zitafuatana
Tatizo la Tz hamna mbadala kwa sasa, kiundwe chama kipya chenye watu wasafi na waadilifu, sio chadema ya Mbowe na watu wake.
 
Back
Top Bottom