2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

View attachment 431361View attachment 431362 mange kimambi huyooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji23] [emoji24]
Mange kimambi ana nn[emoji1]
Kwani Trump kasema atawarudisha watu nyumbani kwao?
 
Mpaka muda huu Trump anaongoza kwa 238 sawa na 48.2% dhidi ya 215 sawa na 47.2% za Clinton. Uhakika wa kushinda ni mpaka electral votes 270. Hata udhibiti wa mabunge, Republic inaonekana kufanya vizuri zaidi kuliko democrat. Bado dk kidogo sana Trump aingie WA.
Upo kuzimu ehh..
 
This is going to be a big blow to females, if the superpower nation is NOT ready for a female president, whoelse is ready??? A big big blow if HC fails.
Anyway, New Blood is needed, no more GOING WITH THE FLOW attitude.
 
duuuhh nimejaribu ku search kuangalia kama mtu unaweza kuhamia Canada from US
naona Site nzima imeaanguka. Niliona Aljazeera kuwa site ya Immigration ya Canada imeanguka
ajili ya Application nyingi.

Ningeomba mwingine ajaribu kama hii ni kweli au ni computer yangu tu?.

Hiyo mbona haina shida hasa kama una passport ya kimarekani. Ni sawa na mtu wa Mwanza kuhamia Shinyanga!
 
duuuhh nimejaribu ku search kuangalia kama mtu unaweza kuhamia Canada from US
naona Site nzima imeaanguka. Niliona Aljazeera kuwa site ya Immigration ya Canada imeanguka
ajili ya Application nyingi.

Ningeomba mwingine ajaribu kama hii ni kweli au ni computer yangu tu?.
Inaniambia ''sver connection failed''!
 
Sasa pressure ya nini?Au una mpango wa kuzamia kama mie.....lol
Mbona clinton anashinda kwa kishindo wewe tulia mambo yanabadilika mda si mrefu
Sina tena matumaini mpenzi...sijui!
Natamani hata apunguze gap kidogo afikie hata 30 kutoka hizo 15 ninywe hata chai!
Loooh Nifah mimi ushabiki utaniua [emoji17] [emoji24]
 
Umeme umekatikaaa daah[emoji22][emoji22][emoji22]!!presha iko 800 hapa,maskini jamani ,tujuzeni kinachojiri
 
Shughuli imefika ukingoni Mkuu.

Pennsylvania, moja ya large electoral states Donald anaongoza... inabidi tu sasa watu wajiandae kisaikolojia!
 
Back
Top Bottom