Ephraim Mollel
Member
- Oct 24, 2016
- 31
- 15
Tofauti mpaka sasa ni 4 168 kwa 172 na kura za wajumbe 535 ambazo ndo huamua Nani raisi na mshindi ni 270 so hizi hazitusumbui mama ndo Raisi Wa statrKama kashinda Florida basi kazi kwisha
Tofauti mpaka sasa ni 4 168 kwa 172 na kura za wajumbe 535 ambazo ndo huamua Nani raisi na mshindi ni 270 so hizi hazitusumbui mama ndo Raisi Wa statrKama kashinda Florida basi kazi kwisha
Kaka nipe habari kmlDunia nzima ina wasiwasi na huyu jamaa. Stock markets duniani zinaanguka kwa kasi ya kutisha. US dollar nayo imeporomoka.
'Bigger than Brexit': markets, US dollar plunge as Trump takes Florida – live
Anashinda mama nakuambiaa na muendelee ivo ivoUnahitaji miujiza Clinton kushinda.
Nimeshtuka sana alipoikamata Florida(A swing State)..........NC nayo........du....Mpaka Ohio...yaani..Dunia nzima ina wasiwasi na huyu jamaa. Stock markets duniani zinaanguka kwa kasi ya kutisha. US dollar nayo imeporomoka.
'Bigger than Brexit': markets, US dollar plunge as Trump takes Florida – live
I doubt it .Itakuwa kama ya Magufuli
Majimbo mangapi mkuu
Mi ndo sielewi kabisa! Maana nimecheki NBC news pale kwenye race to 270 imeandikwa Clinton 209 Trump 187Uwiiiiiiii yani hata sielewi.
ha ha ha kasheshe hii!Go! Go! Go! Trump rais KABILA, KAGAME na NKRUNZINZA mavi yanagonga chupi..!
I can't believe Melanie Trump anaenda kuwa first lady...what will she do for God's sake[emoji15]
Utakuwa umeamka na hangover za virobaTofauti mpaka sasa ni 4 168 kwa 172 na kura za wajumbe 535 ambazo ndo huamua Nani raisi na mshindi ni 270 so hizi hazitusumbui mama ndo Raisi Wa statr