Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,410
Uwiiiiiiii yani hata sielewi.Marekani Lubuva wao CNN. Halafu
Clinton 190
Trump 172
Sasa huyo Lubuva wako sijui atakuwa Jecha??[emoji15]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uwiiiiiiii yani hata sielewi.Marekani Lubuva wao CNN. Halafu
Clinton 190
Trump 172
Sasa huyo Lubuva wako sijui atakuwa Jecha??[emoji15]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
crazy lakini still hajachukua any single state ya blue wall za Clinton lakini nimeanza kupata wasiwasi trump anaweza kushindaIt's offical...Trump kachukua Florida!
Taratibu mkuu bibi 190 na jamaa 201.Karibu Tanzania Baba Trump!!! (Just thinking?)
Sasa naamini kuwa Siasa ni mchezo mchafu kwa kutokana na kura zinavyoonyesha kwa Trump ambaye hakuaminiwa na wengi kuwa atashinda lakini mambo yanakuwa opposite, ngoja tusubiri mpka mwisho wa mchezo.
Tena sana naona ndio kaamka sasa hivi!Mkuu
Wewe bado upo nyuma sanaaa
Neno "nge" uja mwsho wa safari mkuu.Yule Gary Johnson kachukua kati ya 2% na 4% katika baadhi ya states ambazo kama angejitoa zingeenda kwa Hillary na hivyo kumpa ushindi katika baadhi ya states ambazo tofauti ilikuwa ndogo sana.
Kina kura za wajumbe Wa marekani ambazo ndo huamua Nani rais kakaaSAHAU.
hizi updates za mwaka gani?Clinton leads now 190 by trump 172 ,34 states
Counter attack imeanza...mama 209na trump 172...race to 270
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hujaelewa nini??Uwiiiiiiii yani hata sielewi.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Magufuli wa Marekani huyo.