Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,374
Bado mapema mno upepo aweza badirika.Trump anachukua ndoo mama apumzike sasa
kaka asante sana sie huku bongo matumbo jotooo
Kumbe mnaipenda USA eeh.....
Ahahahahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama kashinda Florida basi kazi kwishaFlorida shughuli imeisha.Trump amechukua
Libabe sana hilo lizee. Na anavyopenda watu weusi sijui kama marekani nitaenda tenasio mbona kama ni
TRUMP NDIYE RAISI kama uliplan kuzamia USA bora uolewe hapahapa bongo
TRUMP sio mtu wa mchezomchezo yani uwachagulie watu ccm halafu ukimbilie nchi za watu [emoji23] [emoji23]
Hillary anaongoza kwa asilimia ngapi mpaka sasa?
Kama kashinda Florida basi kazi kwisha
sio mbona kama ni
TRUMP NDIYE RAISI kama uliplan kuzamia USA bora uolewe hapahapa bongo
TRUMP sio mtu wa mchezomchezo yani uwachagulie watu ccm halafu ukimbilie nchi za watu [emoji23] [emoji23]
Mkuu,it is too early to judge the winner...Kuna yule mtabiri maarufu alitabir mama kushinda..au ndo kama alivyosema kuwa atashinda kwa ushindi mwembamba?!
Unauliza unaelezaaUpdate?Trump ameshamgalagalaza mama clinton?
Lazima Clinton ashinde.Hupendi kwani mrembo? Dume ni dume daima [emoji28] [emoji28]
Umeanza kumuunga mkono?? Too late Ngabu monkeyClearly hawaujui na ndo maana walidanganyika kirahisi na zile habari za satire kuhusu Trump