Trump is 54 electoral votes away from winning it.
Shocker.
Utah goes to Trump.
Ngoja nikanunue USD. nimeona share markets zinavyodondoka.Dunia nzima ina wasiwasi na huyu jamaa. Stock markets duniani zinaanguka kwa kasi ya kutisha. US dollar nayo imeporomoka.
'Bigger than Brexit': markets, US dollar plunge as Trump takes Florida – live
We wapi..??Hilary 202 Trump 172
Ndio tunmhitaji huyo, haiwekazi huku afrika mtu rais anaongoza miaka 30 yeye tu. Kwani hakuna Wa kuongozaWakuu Trump akichukua nchi... inakula kwa watuu[emoji88] [emoji88] [emoji88]
sasa hicho ndio nini unamaanisha ni Blue or Red state gani??Hilary 202 Trump 172
Yatakuwa Yale ya kura ya maoni[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu matokeo yako unayatoa wapi?
Hapana mkuu haitaji Florida kushinda na ameishaipoteza naona,still she can win this ila asipoteze Wisconsin or Michigan na inavyoonekana New Hampshire is a must sasa
KabisaNimegundua CCM wanamuunga mkono Clinton, UKAWA ni Trump
Nachek bbc ila naona wako nyuma ngojea nihame channel kaka ,kkkkkkYatakuwa Yale ya kura ya maoni[emoji1] [emoji1] [emoji1]