Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 446
US $ is downing...
Unaishi huko mkuu??[emoji15] [emoji15]Sikushangaa trump kushinda uchaguzi huu, najua taifa la marekani Kwa sasa linahitaji kuongoozwa na mtu aina ya trump.
Trump kachukua North Carolina Hillary anaongoza kwa 190 EV na Trump ana 186 EV, tofauti ya 4.
Yani sijui serikali ya Trump itakuwaje ?
270 ndo atashinda kati ya 535 kakaTusubiri tuone[emoji23]
Mkuu matokeo yako unayatoa wapi?Clinton leads now 190 by trump 172 ,34 states
Huko lazima si unajua tena wakazi wake na hatred kwa blacks na racism in particular.Misissip kimenuka Trump kaashinda
Ingia google upate live updatesSioni kama ni live
Itakuwa kama ya MagufuliYani sijui serikali ya Trump itakuwaje ?
Hapana mkuu haitaji Florida kushinda na ameishaipoteza naona,still she can win this ila asipoteze Wisconsin or Michigan na inavyoonekana New Hampshire is a must sasa