chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,428
- 4,476
huyu trump atashinda kwa kishindo kikubwa sana stay tuned yaani wamarekani wampe nchi mwanamke?
Kwa East coast watch New Hampshire and North Carolina ukiona Clinton kashinda Trump itabidi akalale mapema
Sister naonaaa Sema majimboo yamamaa enfi ayajatoa dhhabuzake tusubirihuyu trump atashinda kwa kishindo kikubwa sana stay tuned yaani wamarekani wampe nchi mwanamke?
North Calorina na Florida ni muhimu sana kwa mama......akishinda hizo atapumua kidogo.....naona anaongoza muda huu kwenye hizo states....
kwa upepo unavyovuma mama ataangukia pua vibaya mno Tanzania si sawa na USNorth Calorina na Florida ni muhimu sana kwa mama......akishinda hizo atapumua kidogo.....naona anaongoza muda huu kwenye hizo states....