Fox news wanatoa matokeo yanayoonyesha trump yuko juu...msnbc wanatoa matokeo yanayoonyesha mama yuko juu
Labda jimbo la bunda mjiniMkuu matokeo yako unayatoa wapi?
Why NO!! THATS GOOD.Repubs wame keep senate pia?!, oh no.
Si mda mrefu Lubuva wa Marekani atamtangaza rasmi Donald trum kumrithi wa Obama hii inatokana na jinsi gan mka muda huu Trump kumuacha kwa mbal sana Hillary licha ya kubak sehem chache ya matokeo ambayo hayawez kubadilisha matokeo Trump 168 Hillary 106 matokeo ya wajumbe ambapo Trump amekiza wajumbe 102 ili atangazwe kwa wajumbe 270 huku Hillar akidaiwa wajumbe 164 kuchukua kiti kww wajumbe 270 .kwa zilizo pending ni waz Trump kashinda hasa matokeo ya Kalfonia yakitoka
197 kwa 216Mama anaongoza kwa 197 wakati mzee ana 187
Mkuu unafuatilia siasa za marekani? Kwani lazima niishi huko ili nijue kinachoendelea?Unaishi huko mkuu??[emoji15] [emoji15]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wakuu kwani calfonia teyari???