2013 kurudi nyuma ukipata division one watu wanakushangaa ila siku hizi ukiikosa watu wanakushangaa zaidi!

Sina mood

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
213
1,327
Miaka ya zamani ukisikia mtu amepata division one ni heshima kubwa sana kwake kuanzia shuleni mpaka mtaani anapoishi, ukipata one ya Saba kwa O-Level au ya 3 Advance basi mkoa mzima utapewa heshima yako na kuna uwezekano ukatafutwa.

Maisha siku hizi yamebadilika, hata ukipata one ya single digit (7-9) kwa O-Level au 3-5 kwa Advance hakuna atakayeshangaa maana ni kawaida sana na utakuta darasani kwenu wenye hizo one mpo zaidi ya 30.

Siku hizi watu watakushangaa ukikosa one utaonekana kiazi ajabu,ukipata division 2 hata ya 10 unaonekana umefeli.

Elimu ilikuwa zamani siku hizi kanya boya tu.
 
Mitihani ya zamani ilikuwa mirahisi Sana , sema hamkusoma katika mazingira sahihi. Na Bora.

Yaani Watz bado Sana unapima ubora wa Elimu kwa watu kufeli Sana ?

Unashindwa kuelewa teknolojia imekuwa Sana Muda huu ili kujua vitu vingi sio lazima kukaa darasani au haujiui? Watu mmesoma kwa Viboko so niujinga .kuamini Nyie mpo Bora na wenzenu sio Bora.
 
Mulangira.

Ni kanuni ya jumla tu.

Kizazi cha zamani hukiona kizazi kilichopo kuwa kina mambo ya hovyo na kuwa chenyewe ndicho kilikuwa bora karibu katika kila nyanja.

Kizazi kipya nacho hukiona kizazi kilichotangulia kama kilichopitwa na wakati na chenye mambo ya kizamani.

Ukilijua hili mambo kama haya wala hayatakushangaza wala kukupanikisha. Ni msigano wa kawaida tu kati ya ukale na usasa!
 
Mitihani ya zamani ilikuwa mirahisi Sana , sema hamkusoma katika mazingira sahihi. Na Bora.

Yaani Watz bado Sana unapima ubora wa Elimu kwa watu kufeli Sana ?

Unashindwa kuelewa teknolojia imekuwa Sana Muda huu ili kujua vitu vingi sio lazima kukaa darasani au haujiui? Watu mmesoma kwa Viboko so niujinga .kuamini Nyie mpo Bora na wenzenu sio Bora.
Sasa mtu anasoma hata hajui syllabus inamtaka asome nini hata mwalimu wa zamani alikuwa hajui afundishe kwa kufuata muongozo upi Sasa utapataje one
 
Nafikir watu wanaona shule sio muhimu tena kama zaman ilivyokua huyo mwenye división one enzi hizo hata serikali itamtafuta na kumpa ufadhili na pengine kupewa nfasi kubwa baadae, lakin siku hiz hata ambao hawakusoma wana nafas kubwa na wanaongoza wasio. Nadhan kuna dhana ya kwamba kufaulu shule sio kufaulu maisha.
 
Miaka ya zamani ukisikia mtu amepata division one ni heshima kubwa sana kwake kuanzia shuleni mpaka mtaani anapoishi, ukipata one ya Saba kwa O Lev au one ya 3 advance basi mkoa mzima utapewa heshima yako na kuna uwezekano ukatafutwa.

Maisha siku hizi yamebadilika hata hata ukipata one ya single digit (7-9) kwa O Lev au 3-5 kwa advance hakuna atakayeshangaa maana ni kawaida sana na utakuta darasani kwenu wenye hizo one mpo zaidi ya 30.

Siku hizi watu watakushangaa Ukikosa one utaonekana kiazi ajabu ,ukipata division 2 hata ya 10 unaonekana umefeli.

Elimu ilikuwa zamani siku hizi kanya boya tu.
Hata zamani mitihani ilikuwa rahisi sana sema mlikuwa wengi vilaza na mnasoma kwenye mazingira magumu sana imagine miaka Hiyo mtu anafeli kupata wastani wa 30 ili kivuka form two
 
Mtoto wa sasahivi hajibu Physics ya 2013, ila T.O wa 2013 anaweza ku breeze physics ya 2017 onwards with easy tu.

Swali la heat engine physics hata mmoja hajibu, guess what ??
Physics na masomo ya sasahivi wame scrap topics nyingi zimeenda chuo thus why hata vilaza wanakunywa na ku mention tu.
 
We je unaweza kunywa na kumention
 
Mtoto wa sasahivi hajibu Physics ya 2013, ila T.O wa 2013 anaweza ku breeze physics ya 2017 onwards with easy tu.

Swali la heat engine physics hata mmoja hajibu, guess what ??
Physics na masomo ya sasahivi wame scrap topics nyingi zimeenda chuo thus why hata vilaza wanakunywa na ku mention tu.
Mkuu nimekuambatanishia mitihani ya mwaka Jana format mpya na mwaka 2013 nimeweka Pepa zake!!!!
Hapa hakuna utofauti na maswali ya Sasa yanakuja technically sana!!!
 
Attachments

  • Physics 2 - F6 - 2013.pdf
    3.5 MB · Views: 4
  • Physics2-F6-2022.pdf
    1.2 MB · Views: 5
  • Physics 1 - F6 - 2013.pdf
    1.2 MB · Views: 3
  • Physics1-F6-2022.pdf
    1.4 MB · Views: 2
Mtoto wa sasahivi hajibu Physics ya 2013, ila T.O wa 2013 anaweza ku breeze physics ya 2017 onwards with easy tu.

Swali la heat engine physics hata mmoja hajibu, guess what ??
Physics na masomo ya sasahivi wame scrap topics nyingi zimeenda chuo thus why hata vilaza wanakunywa na ku mention tu.
Hiyo mitihani ya 2013 haipo kwenye review au haionekani??

Embu ilete hapa tuione ugumu wake hiyo ya zamani
 
Miaka ya zamani ukisikia mtu amepata division one ni heshima kubwa sana kwake kuanzia shuleni mpaka mtaani anapoishi, ukipata one ya Saba kwa O Lev au one ya 3 advance basi mkoa mzima utapewa heshima yako na kuna uwezekano ukatafutwa.

Maisha siku hizi yamebadilika hata hata ukipata one ya single digit (7-9) kwa O Lev au 3-5 kwa advance hakuna atakayeshangaa maana ni kawaida sana na utakuta darasani kwenu wenye hizo one mpo zaidi ya 30.

Siku hizi watu watakushangaa Ukikosa one utaonekana kiazi ajabu ,ukipata division 2 hata ya 10 unaonekana umefeli.

Elimu ilikuwa zamani siku hizi kanya boya tu.
Zamani Elimu ilikuwa inaonekana ndio njia pekee ya ku earn life na heshima Sasa mambo imebadilika ,njia kubwa ya Sasa ni biashara uwe na mtonyo au cheo ndio ndio utakuwa na heshima.

Hakuna mtu ana habari na makaratasi Yako.
 
Wakija chuo kikuu ndio tunajua kuwa yale matokeo ni maamuzi ya watu kadhaa tu,wala sio reflection ya uelewa wa wanafunzi!

Taifa liko pabaya sana kuliko wakati wowote kielimu!

Kinyume chake,tuendelee kujidanganya hapa kuwa usomaji na urahisi wa usomaji umeboreka sababu ya teknolojia.

Hivi useme toka ile mass failure ya 2013,mwaka ambao mimi naamini ndio wa mwisho kuwa na matokeo halali ya kidato cha 6,eti 2014 na kuendelea tayari mazingira yako vizuri na watu wanafaulu hadi leo?,hivyo tu kweli?,tuwe serious kidogo basi!
 
Hauna hoja ya msingi
Mtoto wa sasahivi hajibu Physics ya 2013, ila T.O wa 2013 anaweza ku breeze physics ya 2017 onwards with easy tu.

Swali la heat engine physics hata mmoja hajibu, guess what ??
Physics na masomo ya sasahivi wame scrap topics nyingi zimeenda chuo thus why hata vilaza wanakunywa na ku mention tu.
 
Wakija chuo kikuu ndio tunajua kuwa yale matokeo ni maamuzi ya watu kadhaa tu,wala sio reflection ya uelewa wa wanafunzi!

Taifa liko pabaya sana kuliko wakati wowote kielimu!

Kinyume chake,tuendelee kujidanganya hapa kuwa usomaji na urahisi wa usomaji umeboreka sababu ya teknolojia.

Hivi useme toka ile mass failure ya 2013,mwaka ambao mimi naamini ndio wa mwisho kuwa na matokeo halali ya kidato cha 6,eti 2014 na kuendelea tayari mazingira yako vizuri na watu wanafaulu hadi leo?,hivyo tu kweli?,tuwe serious kidogo basi!
99% hawawezi kuelewa hapa, sijui shida ni IQ
 
Hata zamani mitihani ilikuwa rahisi sana sema mlikuwa wengi vilaza na mnasoma kwenye mazingira magumu sana imagine miaka Hiyo mtu anafeli kupata wastani wa 30 ili kivuka form two
Hahaa acha vichekesho hivi unajua passmark za sasa za mtihani wa form two ?,ni D mbili au C moja na bado wanafeli hivi wangerudisha ule wastani wa 30 wangapi wangefaulu?,mitihani ile ya zamani ilikua kigongo na yenye terminologies tata ila sku izi mteremko
 
Back
Top Bottom