"2011" – What a year it has been!!! KARIBU 2012....

2011 - Hakuna jema ambalo nitalikumbuka : Umekuwa ni mwaka wa taabu na mateso kwa watu wengi ninaowafahamu!

2012 - Najiandaa kurudi kwetu KIJIJINI nikachome mkaa kama zamani!
 
Kibanda changu nachoishi kuwaka moto (hii sitokaa niisahau)ahsante Mungu, majirani, mchanga na maji…. Sijui ningekuwa wapi leo.

Duh! Pole sana... kwa upande mwingine ni ufunuo tosha kwako kuwa Mungu yu pamoja nawe na anakupenda... Keep your faith till the end!
 

tel him bwana
:juggle::juggle::juggle:
 



ODM shem wangu.... I do know for a fact kua this has been a bad year for you. Nisirudie kutoa Pole kwa Mengi na yoote yalokukumba for tutakua tunayapa nguvu yale ambayo yameumiza na yataumiza roho yako in time.... (thru reminising). Naomba nikupe HONGERA kwa kuweza pull thru hayo yooote; nakumbuka your situation (walau thru the keyboard) of how shocked you were kuweza pona baada ya hio fire out break.... Like I said naomba nisiongelee saana. Hata hivo nasema IF ODM is Appreciative of the Lord, ATAMSHUKURU Mungu for it would have been worse.

Nikija Mazuri yako, inanipa hope kwamba kumbe it was not that bad..... Such a string of Friends, variety of them and interesting Characters....lol... Mfano the way huwa nam-imagine Teamo na Biggie .... naona anaweza nipiga mawe akijua (hivi wakoje if you don't mind....lol).

As I always say.... ODM it seems you are a good person... Dad, hubby and Son (tatizo tu mabinti wakusumbua akili yako ) ni wanaume wachache saana hukumbuka kuenda salimu nyumbani akiwa na wanae tena kwa mda more than a weekl. Am impressed and makes me proud you are my Darling shem.... Alafu Shem naomba nipongeze.... Jana nimefikisha Post 10,000.... By the time nimemaliza Mwaka God willing it has to be atleast 25,000 post.....lol
 
mbona unashangaa na macho yamekutoka kama mjusi kabanwa na mlango
funguka toka kwenye hicho kifungo cha kujiona sharobaro wa mjini muda umeisha.
Lol....
tell him bro?????aseme anataka sh ngapi mchango ndo habari tunataka hapa
 
tell him bro?????aseme anataka sh ngapi mchango ndo habari tunataka hapa

Tatizo hajui amwambie nani maana ni wengi amewapa ahadi za kufunga ndoa
Hilo ndo tatizo lake kubwa
Michango wala sio issue kabisa ila tatizo nani awe mhusika sasa
 

Nataka update hapo mambo yanaenda vipi BUT PA ananikwepa kichizi yaani.

Mambo yanaenda vipi pande hizo?



Kid sis sio kwamba hakuamini... I think it has to do with wewe kua HOT, yeye kuogopa kunyang'anywa.... After all you are too wild bana... Wee mara utangaze unatafuta mchumba.... Jana umetoa ofa vijana waseme nini wanataka kwako.... Ngoja kwanza nipige simu nimwambie aharakishe...
 


Sweetlady.... Pole dear... This is bad news... Dah! Moja ya kitu inaumiza saana ni kupoteza our Loved ones.... Inaumaaaaaah Mno! May they Rest in peace....

Nafurahi thou kua walau una mafanikio as per your say, hivo Mungu ni Mkubwa na hakukutupa moja kwa moja kwa kukuexpose na yalo mabaya tu! Na nakuombea hata hayo machache yalosalia uweze kamilisha 2012 God Willing.... Best of Luck Sweet Lady my sweet Wifi...
 
izo ni swaga za kwenye keyboard bwana
 
tatizo hajui amwambie nani maana ni wengi amewapa ahadi za kufunga ndoa
hilo ndo tatizo lake kubwa
michango wala sio issue kabisa ila tatizo nani awe mhusika sasa
mwishowe atakosa wote. Mjini hapa mimi nimeacha misala kibao mtaani watu walikuwa wananizingua mimi nikaamua kusepa zangu sasa wanarudi nafasi imejaaa
mjini bwana watu kibaaaaaaaaaao mwambie
 


AMEEN to the first Sentence.... Thank you.....

hahahaha to the rest of the sentences....lol.... Una watoto wangapi Tulizo? (very curious indeed!):eyebrows:
 
2011 - Hakuna jema ambalo nitalikumbuka : Umekuwa ni mwaka wa taabu na mateso kwa watu wengi ninaowafahamu!

2012 - Najiandaa kurudi kwetu KIJIJINI nikachome mkaa kama zamani!


Baba_Enock.... Hii post is SO pessimitic and gloomy! Naomba walau urudi na U-justify why.... Dah!
 
Inauma Ashadii asikwambie mtu, ilifika mahali mie pia nikajikatia tamaa, achana na ajali za barabarani mpendwa, huezi amini wote wamekufa kwa ajali kasoro mmoja ambae, yeye aliugua kama siku 3 tu akaondoka.( mwezi oct, & nov 2011 sitaisahau aisee)... Ila ndio hivyo tena kazi ya mungu... Tuliwapenda ila mungu kawapenda zaidi. Wapumzike kwa amani Amina!



Ahsante sana mpendwa.... Nashukuru pia kwa maombi... Nakuombea na wewe mwenyezi mungu akujalie afya njema kwa mwaka ujao ili hatimae ufanikishe malengo yote uliojiwekea.... Barikiwa sana wifi yangu mpenzi...
 
😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa
 
Mbona unashangaa na macho yamekutoka kama mjusi kabanwa na mlango
Funguka toka kwenye hicho kifungo cha kujiona sharobaro wa mjini muda umeisha.
Lol....

Tatizo hajui amwambie nani maana ni wengi amewapa ahadi za kufunga ndoa
Hilo ndo tatizo lake kubwa
Michango wala sio issue kabisa ila tatizo nani awe mhusika sasa

mwishowe atakosa wote. Mjini hapa mimi nimeacha misala kibao mtaani watu walikuwa wananizingua mimi nikaamua kusepa zangu sasa wanarudi nafasi imejaaa
mjini bwana watu kibaaaaaaaaaao mwambie
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:.....Nitafutieni mchumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…