Luther760
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 316
- 241
Kumbe hawakua na sababu ya msingi walikuwa wapuuzi tuNilimaliza kwa amani.
Na baada ya masomo nimefanya mabadiliko.
Nimejituma kufanya kazi na siasa pia ninafanya kwa kufuata sheria za nchi.
Mabadiliko siyo kuandamana bila sababu ya msingi.
mwili mdogo vurugu nyingi.....Ila kuna mbavu moja ya Duce tulikua tunapoa nayo mabibo ilikua inaamsha sana aisee
