2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,023
2,000
Huu mwaka sitausahau pale mlimani.

Washikaji zetu ,Christopher mbusule, Lusako ,Ndunguru na wengine wengi tu walipoteza chuo.

Mlimani city ilikuwa jumba la maficho . Tulikimbia tukajificha kwenye maduka. Wale jamaa walikuja na hasira kama za simba wakitutafuta.

Poleni sana washikaji wote mliopoteza chuo kipindi Hicho. Harakati zenu zilifanyika neema kwa wengine.

Mungu bado anatupigania . Siku zimepita na maisha yanaendelea.
 
ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
9,110
2,000
Hiki chuo unachokizungumzia hakipo Tanzania, kama kipo then prove me wrong. Otherwise relax.
Sio tu kipo tumesoma hapo...usiwe oversensitive kwenye chatting za jf....hatufundishani silabi wala sarufi wapi pa kuweka herufi kubwa ama ndogo humu....
so unaweza ukapita kushoto.....uendelee na safari....
 
The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,023
2,000
Kiongozi hata picha tu inatosha
Siku zimepita ,huyu jamaa alikuwa mweusi ana mwili mdogo sana. Alikuwa anatembea na nyaraka za serikali kiasi kwamba Kila mtu alimshangaa kuwa alizipata wapi hizo nyaraka.

Uwezo wake wa kujieleza na kujenga hoja haukuwa wa kawaida. Ni kijana jasiri kuliko maelezo.
 
jaywacnza

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
920
1,000
Siku zimepita ,huyu jamaa alikuwa mweusi ana mwili mdogo sana. Alikuwa anatembea na nyaraka za serikali kiasi kwamba Kila mtu alimshangaa kuwa alizipata wapi hizo nyaraka.

Uwezo wake wa kujieleza na kujenga hoja haukuwa wa kawaida. Ni kijana jasiri kuliko maelezo.
Ni mwanamke au mwanaume??
 
Sanchez magoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
3,965
2,000
Mngenikamataje wakati mimi ni mwenyeji wa Dar?

Yaani watu mmetoka mikoani huko hata majina ya barabara hamjui halafu mje kupambana na mimi??
Wazidi nitia hasira umenitonesha swala la uenyeji wa dar natamani nikufikie kwenye izo keyboards zako nikupe walau amba cut na jabu mbili tatu.

Boda boda mmoja mpuuzi sana nimetua zangu ubungo terminal tokea shinyanga, namwambia anipeleke udsm nauli shingapi akaniambia 10k. Nikamwambia poa akanipeleka pitia shekilango road tukakatiza sinza iyo yote tukaenda kunjia njia ya TRA mwenge tukaingia Sam nujuma road ardhi university then utawala. Mda wa kurudi kidogo tena nichukue bodaboda 10k ya kunipeleka Ubungo then nipande magari ya Vingunguti yaliyokuwa yanapitia buguruni kwa mnyamani.

Rafiki yangu mmoja akaniambia
Kuna hii shortcut tukapitia zetu pale Coet, geti maji Ubungo iyo. Mpaka Leo yule boda boda huwa najiuliza alifikiria nini kunizungusha sinza mwenge uko wakati njia ya karibu ilikuwa anaijua

Shikamoo mjini
 
Aikambee

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
4,058

Daah basi pole sana hadi nimekuonea huruma.
Aisee! Halafu mgeni akiingia mjini huwa sura inaonyesha...jamaa alikusoma kwanza itaukuwa katika kuuliza swali, uliuliza as if hupajui UD, ndiyo maana akakutajia hiyo bei, na kama ungepajua, ungekataa na pia ungemuuliza ni kwa nini anapitia Kule.
 
The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,023
2,000
Haaaa, haaa
Wazidi nitia hasira umenitonesha swala la uenyeji wa dar natamani nikufikie kwenye izo keyboards zako nikupe walau amba cut na jabu mbili tatu.

Boda boda mmoja mpuuzi sana nimetua zangu ubungo terminal tokea shinyanga, namwambia anipeleke udsm nauli shingapi akaniambia 10k. Nikamwambia poa akanipeleka pitia shekilango road tukakatiza sinza iyo yote tukaenda kunjia njia ya TRA mwenge tukaingia Sam nujuma road ardhi university then utawala. Mda wa kurudi kidogo tena nichukue bodaboda 10k ya kunipeleka Ubungo then nipande magari ya Vingunguti yaliyokuwa yanapitia buguruni kwa mnyamani.

Rafiki yangu mmoja akaniambia
Kuna hii shortcut tukapitia zetu pale Coet, geti maji Ubungo iyo. Mpaka Leo yule boda boda huwa najiuliza alifikiria nini kunizungusha sinza mwenge uko wakati njia ya karibu ilikuwa anaijua

Shikamoo mjini
 
Sanchez magoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
3,965
2,000
Haaaa, haaa
Mkuu usicheke
Mimi nilikaribishwa dar saalam haswa haswa
Baada ya Boom kutoka nikaingizwa mjini
pale sheli ya oilcom ubungo kupenda vya bei chee uku niliuziwa simu amabayo ndani nilikuta kipande cha sabuni

Baada ya tukio hilo na nilikuwa tiyari nimenunua laptop,maisha yalikuwa magumu ñakumbuka nilikuwa nakula zangu rb tu karibu miezi miwili cafeteria tu, kwaiyo nilivyokuwa nikisikia maandamano ya kudai hela nami nilikuwa na sapport haswa haswa sababu ya situation zangu za maisha kuwa ngumu

Tena nilikuwa naomba migomo itokee kipindi ambacho test nyingi za mitihani zinapotangazwa
 
The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,023
2,000
Wewe jamaa Leo utanivunja mbavu.Haaaa, haaaaaa,nimecheka mpaka hapa baa watu wamenishangaa.
Mkuu usicheke
Mimi nilikaribishwa dar saalam haswa haswa
Baada ya Boom kutoka nikaingizwa mjini
pale sheli ya oilcom ubungo kupenda vya bei chee uku niliuziwa simu amabayo ndani nilikuta kipande cha sabuni

Baada ya tukio hilo na nilikuwa tiyari nimenunua laptop,maisha yalikuwa magumu ñakumbuka nilikuwa nakula zangu rb tu karibu miezi miwili cafeteria tu, kwaiyo nilivyokuwa nikisikia maandamano ya kudai hela nami nilikuwa na sapport haswa haswa sababu ya situation zangu za maisha kuwa ngumu

Tena nilikuwa naomba migomo itokee kipindi ambacho test nyingi za mitihani zinapotangazwa
 
PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
9,342
2,000
Wazidi nitia hasira umenitonesha swala la uenyeji wa dar natamani nikufikie kwenye izo keyboards zako nikupe walau amba cut na jabu mbili tatu.

Boda boda mmoja mpuuzi sana nimetua zangu ubungo terminal tokea shinyanga, namwambia anipeleke udsm nauli shingapi akaniambia 10k. Nikamwambia poa akanipeleka pitia shekilango road tukakatiza sinza iyo yote tukaenda kunjia njia ya TRA mwenge tukaingia Sam nujuma road ardhi university then utawala. Mda wa kurudi kidogo tena nichukue bodaboda 10k ya kunipeleka Ubungo then nipande magari ya Vingunguti yaliyokuwa yanapitia buguruni kwa mnyamani.

Rafiki yangu mmoja akaniambia
Kuna hii shortcut tukapitia zetu pale Coet, geti maji Ubungo iyo. Mpaka Leo yule boda boda huwa najiuliza alifikiria nini kunizungusha sinza mwenge uko wakati njia ya karibu ilikuwa anaijua

Shikamoo mjini
 
Rwebo

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
263
250
Kusema kweli ule ujinga siwezi fanya tena kipindi kile nilikua na misimamo ya kipuuzi sana,mwisho wa siku nimekuja kusoma chuo kingine bila mkopo na mzigo wote nikawabebesha wazazi wangu

Ila rev square ni jukwaa ambalo ulitakiwa liendelezwe hadi kesho
Ili ulichokipata na wengine kiwapate au?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom