Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
Mi hata simfahamu bro..Nimekuwa tu interested kujua..Sometimes kwenye maisha kuna watu wanajitoa muhanga kwa manufaa ya watu wengine lakini mwisho wa siku wanakuja kubezwa na watu haohao aliowasaidia..Al shabab na kale kamwil kake kadogo...