Aisee nadhani huu mgomo ndo ule hadi alikuja waziri kawambwa aisee watu walishuka mpaka kuke kwenye swimming pool jamaa yule Laizer akaanza kumuita "Kawambwaaa Kawambwaaa Kawambwaa" nimekuita mara tatu kama isingelikua Nyerere usingesoma bure, aisee baadae nakumbuka polisi wanaondoka wakaanza ku4ushiwa makopo na mawe na kuitwa form 4 failure aisee mbio zilitimuka siku ile sitasahau nimefika Hall 1 ikabidi njegere zote zikaharishwe hahahaha...ila ilisaidia boom likawa 7500 badala ya 5000 nilienjoy sana kwa kweli daaah...ila maumivu ya bodi nayasikilizia sasa hivi hatari tupu...