Unajua kusoma?Mkuu ukifuatilia maisha ya JF na kutaka mtu afanye unavyotaka utapata tabu sana mkuu, kuna mtu id siiweki hapa mada zake za humu anazoandika pale MMU na status yake ni tofauti.
Fuata kilichokuleta lasivyo utaonekana umetoroka Milembe
Huyu alikua anajifanya mwanaharakati sana ila hamna kitu, afu alikua anapenda mademu weupe wembamba warefu sema alikua hana swaga la kutongozea...swaga lake la kutongozea ni kujifanya anasoma sheria[emoji3][emoji3]salumu nashangaa hili jina la hapy limetokea wapi nakosa majibu
jamaa alijifanya mwanaharakati picha yake ikaonekana gazetini akiwa dodoma kavaa sare ya chama...
gazeti likabandikwa pale cafteria ya pili baada ya manzese pale walikua wanaekaga matangazo mengi
ndo raia wakajua jamaa ni CCM
Wenzio wanapambana ww unakimbia hufai kwa mabadilikoAcha iwe tuu maana ulemavu wa kujitakia sitaki.
Nilifuata kusoma na siyo kupambana na polisi
Sisi tuliosoma vyuo vya kanisa hatuna pa kuchangia maana utii ulitamalakiDah...huo mgomo ulifanya watu kua wanariadha kwa lazima. Nakumbuka tukiwa gate maji tukaamriwa kurudi nyuma tukajidai tumekaza, zikapigwa tear gas watu walitafutana sana kukimbilia COET na wengine sehemu tofauti tofauti.. Hao wanaharakati walikua na uwezo wa juu mno ku-convice na kuteka akili za watu. Watu walikua wako radhi mvua iwanyeshee pale Rev square kusikiliza nondo za hao jamaa....missing you muuuuuch UDSM.
Shule nyingi za advance wanafunzi tuligoma kwa sababu kwa sababu ya wazabuni kugoma kusaplay chakula na wanafunzi tukaanza kupewa vyakula vya ovyo. Ndipo wanafunzi tukanza kugomq hqli iliyopelekewa shule kuwa zinafungwa kwa muda usiojulikana. Hadi usikie Tangazo kwenye redio na Tv.Mimi sijasema.
Ila UD nilijiunga 2010 na nilikutana na masekeseke sana.
Na masekeseke nilianza nayo secondary, kama unakumbuka 2008-2010 shule nyingi zilikuwa na fujo sana.
Hahahaha ndunguru nilisoma nae milambo high school, nikaja nae pale ud ,jamaa ni noma alikua anafoka pale utawala , huyu alshababu alianzia mabibo hostel alifunga kazi akiwa na demu flani iviAiseee Ndunguru alikua mbishi kwelikweli alianza kuandamana peke yake akiwa peku,, daaah Tanzania kuna watu walikua na mioyo ya kipekee sana,, imagine alikua na mkopo na alikua mwaka wa tatu anamaliza lakini alishindwa kukaa kimya mwanafunzi wa mwaka wa kwanza alipokosa mkopo. Halafu akaja funga kazi aliejiita alshabab,,
Waliongeza 1000 tena. Saiv ni 8500 per day. Hiyo ilianza kwa mwaka wa masomo 2015/2016sina kumbukumbu vizuri lakini mgomo wa 10000 ulikuwa mzito ndo pesa ikapanda mpaka leo 7500 imegota hapo sijui kama imeongezeka
Daah mabibo nilikaaga kuanzia 2nd year hadi mwaka wa mwisho kulikuaga fresh sana misosi pale kwa wale wapemba ilikua si mchezo, victoria hata siikumbuki ilikuaga ipo sehemu gani? Au ule mtaa wa nyuma ulioongozana masteshenari kama ukiwa unakula shato pori?
hapana usiseme hakuna vyuo. but in short ni kwamba vyuo vingi vya serikali kero hakuna. na kumbuka kero kubwa ilikuwa bumu ila sasa hivi bumu halichelewi hata wiki moja sasa migomo itatokea wapi?Duuu.Ni shidaaa.Hakika kwa sasa hatuna tena vyuo.Unakumbuka mabomu ya Mlimani City kwenye harakati ya kwenda ikulu?.Kwa kifupi,CASS ilipoteza wawili.Hao wote tulikuwa nao kwenye literature.
nasikia siku hizi iko elfu 8sina kumbukumbu vizuri lakini mgomo wa 10000 ulikuwa mzito ndo pesa ikapanda mpaka leo 7500 imegota hapo sijui kama imeongezeka
Hiyo sio sababu ya msingi kabisa.Kumbuka kipindi hiki ni wanafunzi wachache sana wanapata mikopo,kitu ambacho kilichangia migomo kwa wakati wetu.Kwa sasa wanafunzi wanahofu sana kutokana na utawala wenyewe ulivyo.hapana usiseme hakuna vyuo. but in short ni kwamba vyuo vingi vya serikali kero hakuna. na kumbuka kero kubwa ilikuwa bumu ila sasa hivi bumu halichelewi hata wiki moja sasa migomo itatokea wapi?
Pole yake.Umenikumbusha James Mbatia alivyotimuliwa kwa mambo kama hayo enzi za Mwinyi!
Muda...siku hizi tunakula vingi tunachotaka...I hope ulishapoa mkuu
Shule nyingi za advance wanafunzi tuligoma kwa sababu kwa sababu ya wazabuni kugoma kusaplay chakula na wanafunzi tukaanza kupewa vyakula vya ovyo. Ndipo wanafunzi tukanza kugomq hqli iliyopelekewa shule kuwa zinafungwa kwa muda usiojulikana. Hadi usikie Tangazo kwenye redio na Tv.
Kimbembe cha Udsm kwenye maandamano ya kudai bumu la sh. 10,000/=. Mwita ndie alianza kuandamana pekee yake.
Baadae akamobulize na kuandaa kunji la kwenda White House ambalo lilikomea suvey na kupata Mabomu ya machozi ya kutosha.
Wenzio wanapambana ww unakimbia hufai kwa mabadiliko
SijuiUnajua kusoma?