2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

Ndio maana watu wanalalamikia elimu yetu. Wewe umesoma mpaka chuo kikuu. Lakini unaandika paragraph nzima bila kituo. Msitari juu ya msitari.... Hata sielewi story ya Salum imeishia wapi na hiyo nyingine imeanzia wapi!
Dah nmetokaa mpk machozi kipindi hikii hali ilikuwa tete mno, tumefka tu chuo 2010, tukamkuta Ally Hapi (chuoni alijulkana kama Salum) mwanaharakati akatuaminisha kuwa yeye ni Mpinzani anampinga rais (Kipara) ambaye alitajwa kama mwana CCM kumbe mchumia tumbo Salum Sijui Hapi nilikuwa namuona ndumilakuwilii mnoo, mwisho wa siku kwa usaliti alioufanya alikimbia Chuoo manake raia walkuwa na Hasira nae Vibayaa ila tanzania wasaliti ni wengi mno, nakumbuka baada ya wanaharakati wengi kufukuzwa ndo wale viongozi wa Daruso namkumbuka mbusule ambae alikuwa Speaker walivosimama kututetea wakatemwa pia ila mule mule Daruso walikuwemo machizi, basii wanafunzi wakajiweka pembeni, akaibuka Ndunguru jamaa alkuwa na mwilii mkubwa, Hoja nzito nae akakamatwaa ndo akatokea Alshabaab...Huyu jamaa alkuwa Kichwa, Organiser mzurii Mno, aaaah nmemkumbka Alshabiib haaa Kizazi cha Kuhojii kilishiaa hapaa UDSM....
 
Ni kweli mkuu.COeT kwenye mgomo mara nyingi walikuwa si washirika wazuri
Dah Coet ndio imekua hivyo siku hizi wakati zamani FOE na baadae Coet ndio walikua waasisi wa kunji karibu zote
 
Mi nilikua maeneo ya mti mkubwa pale karib na nkurumah ,..kilipigwa ki ngola ki1 cha polis nkajishtukia niko kwenye lab ya chemistry department
 
Dah nmetokaa mpk machozi kipindi hikii hali ilikuwa tete mno, tumefka tu chuo 2010, tukamkuta Ally Hapi (chuoni alijulkana kama Salum) mwanaharakati akatuaminisha kuwa yeye ni Mpinzani anampinga rais (Kipara) ambaye alitajwa kama mwana CCM kumbe mchumia tumbo Salum Sijui Hapi nilikuwa namuona ndumilakuwilii mnoo, mwisho wa siku kwa usaliti alioufanya alikimbia Chuoo manake raia walkuwa na Hasira nae Vibayaa ila tanzania wasaliti ni wengi mno, nakumbuka baada ya wanaharakati wengi kufukuzwa ndo wale viongozi wa Daruso namkumbuka mbusule ambae alikuwa Speaker walivosimama kututetea wakatemwa pia ila mule mule Daruso walikuwemo machizi, basii wanafunzi wakajiweka pembeni, akaibuka Ndunguru jamaa alkuwa na mwilii mkubwa, Hoja nzito nae akakamatwaa ndo akatokea Alshabaab...Huyu jamaa alkuwa Kichwa, Organiser mzurii Mno, aaaah nmemkumbka Alshabiib haaa Kizazi cha Kuhojii kilishiaa hapaa UDSM....
Alishabib ni Mwanamke lakini alitisha sana kuliko wanaume kibao pale Udsm. Japokua na yeye alitimuliwa..
 
2011 nilikua 1 year,Muce Iringa na tukaandamana mpaka kwa Mkuu wa mkoa,Christina Ishengoma.Tukatoka pale tukazama town na Msigwa(mmbunge)akatuahidi baada ya siku 3 likatoka.
 
Kipindi hicho shule nyingi zilikuwa zinakabiliwa na baa la njaa, kama kumbukumbu ziko sawa kipindi hicho wazabuni waligoma kwa sababu serikali ilikuwa haijawalipa kwa muda mrefu, baadhi ya shule zilifikia hatua ya kufungwa kwa ukosefu wa chakula
Unakumbukumbu nzuri unanikumbusha kurudi home kisa shule advance hatukuwa na chakula
 
Kuna Mdau mmoja naye alikua mwanaharakati Anaitwa Baraka kijicho,Anadai alilia sana pale segerea gerezani Baada ya wale Askari kumtajia profile hadi kwao na Mama yake anavyomtegemea amtoe kwny umasikini.
 
Kwani amesoma bachelor of Kiswahili
Ndio maana watu wanalalamikia elimu yetu. Wewe umesoma mpaka chuo kikuu. Lakini unaandika paragraph nzima bila kituo. Msitari juu ya msitari.... Hata sielewi story ya Salum imeishia wapi na hiyo nyingine imeanzia wapi!
 
Nimesoma Engineering lakini nakumbuka shule ya msingi na sekondari nilifundishwa punctuation. Labda uniambie kuwa siku hizi mnakwenda chuo kikuu bila kupita sekondari na msingi. Tatizo ni kwamba "mavyuo" yamekuwa meeeengi, hata msiostahili mnakwenda na kumaliza. Vyuo vingine hata havina sifa za kuwa vyuo.
Kwani amesoma bachelor of Kiswahili
 
Nimesoma Engineering lakini nakumbuka shule ya msingi na sekondari nilifundishwa punctuation. Labda uniambie kuwa siku hizi mnakwenda chuo kikuu bila kupita sekondari na msingi. Tatizo ni kwamba "mavyuo" yamekuwa meeeengi, hata msiostahili mnakwenda na kumaliza. Vyuo vingine hata havina sifa za kuwa vyuo.
Bila shaka utakuwa ngosha.

Mavyuo ndo nini?
Kazi kukosoa wengine wakati sie tunapiga story tu na wala hatuandiki official barua
 
Hata haujui maana ya quotation marks. Swali langu ni lilelile - uliruka punctuation primary na sekondari? Unapiga stori ndio - lakini ina maana gani kuwasiliana na usieleke? Kama unawasiliana halafu haueleweki, unapoteza muda tu.
Bila shaka utakuwa ngosha.

Mavyuo ndo nini?
Kazi kukosoa wengine wakati sie tunapiga story tu na wala hatuandiki official barua
 
Nilichojifunza kwenye wengi poana mengi. Wewe unaweza ukawa unafikiri kua lengo lenu ni moja ila kumbe miongoni mwenu kuna watu wana maelngo tofauti kabisa na maovu. Kusema kweli mgomo wa 2011 ulikua wa mwisho na sidhani kama itakaa kutokea mgomo mwingine tena kwenye vyuo vikuu.
Vijana walifanikiwa kwa asilimia mia moja kwenye mgomo ule japo furaha iligeuka msiba baada ya kusherehekea ushindi kwa kutaka kwenda kutoa kipigo kwa viongozi wa serikali ya wanafunzi (DARUSO) ambapo ilikuja kutafsiriwa kama jaribio la kutaka kupindua serikali ya wanafunzi.

Wakati mwingine najiuliza kama wale wanaosomea uandishi wa habari (Mass communication) matukio kama yale hawawezi hata kuyaandalia habari kwa kina na kuja na kitabu au makala zinazoelezea kwa kina kiini cha tatizo na masimulizi mpaka ilivyoisha na hasara au faida zilizopatikana.

Ila yote kumi tisa yule jamaa aliyejiita alshabab alikua mtu wa tofauti sana (Charismatic leader) kwa waliokuwepo mitaa ya chuo na kufatilia kiundani jamaa alijaliwa uwezo wa kushawishi watu.

jina lake lilikua halifahamiki kwa hiyo hata utawala walipata shida sana kumdhibiti mana hawajui ni nani wala anasoma kozi gani, alisumbua sana.
Daah alshabaab Mungu ambariki sana popote pale alipo
 
Nimesoma Engineering lakini nakumbuka shule ya msingi na sekondari nilifundishwa punctuation. Labda uniambie kuwa siku hizi mnakwenda chuo kikuu bila kupita sekondari na msingi. Tatizo ni kwamba "mavyuo" yamekuwa meeeengi, hata msiostahili mnakwenda na kumaliza. Vyuo vingine hata havina sifa za kuwa vyuo.
Ulisoma Panctuation na mwalimu nani aliyekufundsha "Labda" ufuata baada ya kituo kikubwa....Kakojoe ulalee
 
Huyo huyo Ndunguru akafika revolution square pale, akaanza kutema hoja baada ya muda watu wakajaa, jamaa yuko peku peku anaongea balaa. Kilichokua kinasisimua zaidi ni hoja zilivyokua zinatolewa. Baada ya Ndunguru na wengine kukamatwa sasa ndio chuma Alshabab kilipoamka sasa,, akaanza peke yake ku mobilize watu na kuhubiri. The guy will make a very good politician sijui yuko wapi siku hizi.
hahahaha yupo wapi bahati tweve!
 
Shukuru kuwa "mavyuo" yamekuwa mengi kuliko wanafunzi. Magufuli ana haki ya kufunga vyuo uchwara. Ungesoma enzi yangu, usingefika chuo kikuu. Umekaririshwa kuwa "because" haiwezi kuanza sentensi, siyo?
Ulisoma Panctuation na mwalimu nani aliyekufundsha "Labda" ufuata baada ya kituo kikubwa....Kakojoe ulalee
 
Back
Top Bottom