12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

Mkuu bidii yako ya kupost msimamo wa ligi isitetereke pindi 'tutakaposhika usukani wa ligi'
 
Leo kijana yupo kikosini, haya ni maandalizi ya kuja kumwadabisha Cannavaro na Yondani.

DSC_0120.jpg
 
Nategemea matokeo ya kuridhishisha toka Kaitaba, Bila kusahau wanajelajela pale Taifa najua hamuwezi kuniangusha.!
 
Mkuu nilikwambia tuje Bukoba umekataa nimekuja na gari tupu mkuu na dereva tu!!!Mzima lakini kaka?!

Salama kabisa mkuu. Offer yako ilikuja ikiwa imechelewa sana kiasi ambacho sikuweza kupata nafasi ya kui accomodate kwenye schedule yangu. Mara nyingine uniambie mapema ili nijipange mapema.

Kama umefanikiwa kupata line up ya timu yetu ama zote mbili si mbaya ukatushirikisha kabla hujaendelea kutuletea ''live streaming''!
 
simba wanakosa bao la wazi hapa, na kipa wa prison bado yupo chini
 
Nimemwangalia refa kifuani hana beji ya FIFA na hili limedhihirika baada ya kipa wa Prison kuguswa na mshambuliaji wa Simba huku refa akiruhusu mpira uendelee. Kazi ipo.
 
Back
Top Bottom