Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,343
- 111,608
Vp hapo Dar leo hakuna mvua?
anga ni jeupe peee hakuna hata wingu la mvua...mnyama leo lazima awekwe lupango za Prisons
Vp hapo Dar leo hakuna mvua?
Mkuu Makoye Matale leo kule Bukoba tunawaachia msiba mzito sana.Mkuu mandieta karibu kwenye uzi, heshima yako sana.
karibu sana mkuu mandietaMkuu Makoye Matale leo kule Bukoba tunawaachia msiba mzito sana.
Pamoja kaka.
Cc Masuke ndetichia Baba V Mwita Maranya Revocatus Kashaga Kitoabu @ACCOUNTFULL na wadau wengine wote.
Mkuu, umeni chekesha, kampeni yangu itafanikiwa ispokua itachelewa. Naikifanikiwa basi hakika tutakua na ligi yenye upinzani wa hali ya juu, kitu kitakacho pelekea tuwe na timu bora ya taifa. Njia kuu yakufanya watu wazisahau Yanga na Simba niwatu kuwa na uzalendo na timu za maeneo yao. Ona leo mtu wa Mbeya anavyo tembea kifua mbele, kwanini ishindikane kwamikoa kama Arusha, Mwanza, Mtwara etc?kampen yako, kazi unayo, iwe iweje kagera anakufa leo.
YANGA na simba huwezi kuziondoa mioyoni mwa watu ghafla tu, kwa sababu ya timu za mikoa, hao wachezaji wanaocheza against hizo timu wanazipenda YANGA na Simba kutoka mioyon mwao.
Nina wasiwasi na ile simlizi ya maiti na shekh.(sare)Mkuu Makoye Matale leo kule Bukoba tunawaachia msiba mzito sana.
Pamoja kaka.
Cc Masuke ndetichia Baba V Mwita Maranya Revocatus Kashaga Kitoabu @ACCOUNTFULL na wadau wengine wote.
Mkuu, umeni chekesha, kampeni yangu itafanikiwa ispokua itachelewa. Naikifanikiwa basi hakika tutakua na ligi yenye upinzani wa hali ya juu, kitu kitakacho pelekea tuwe na timu bora ya taifa. Njia kuu yakufanya watu wazisahau Yanga na Simba niwatu kuwa na uzalendo na timu za maeneo yao. Ona leo mtu wa Mbeya anavyo tembea kifua mbele, kwanini ishindikane kwamikoa kama Arusha, Mwanza, Mtwara etc?
tukitakaw tuyafikie maendeleo ktk nyanja ya soka, basi hatuna budi kupenda timu za mikoa yetu .
Mkuu, umeni chekesha,
kampeni yangu itafanikiwa ispokua itachelewa. Naikifanikiwa basi hakika
tutakua na ligi yenye upinzani wa hali ya juu, kitu kitakacho pelekea
tuwe na timu bora ya taifa. Njia kuu yakufanya watu wazisahau Yanga na
Simba niwatu kuwa na uzalendo na timu za maeneo yao. Ona leo mtu wa
Mbeya anavyo tembea kifua mbele, kwanini ishindikane kwamikoa kama
Arusha, Mwanza, Mtwara etc?
tukitakaw tuyafikie maendeleo ktk nyanja ya soka, basi hatuna budi
kupenda timu za mikoa yetu .
Nina wasiwasi na ile simlizi ya maiti na shekh.(sare)
Leo mkipigwa kule kaitaba hatutaki visingizio vya kishoga shoga kama mlivyokuwa mnavitoa kule Mbeya..
Mkuu
Crashwise punguza hasira, yaliyopita si ndwele
tugange yaliyopo na yajayo kuna CC yako hapo juu. Ukiwa uwanjani
ukachezewa faulo halafu refa hakuona nawe ukaijibu ile faulo na
ukaonekana, lazima wewe utapewa red card. CC. MODS (fuatilieni posts
zake).
Unaweza kunitajia majina ya waanzilishi wa timu hizo? Mkuu, tambua huo mfumo wa wanachama ndio unaolidumaza soka letu. Wanachama mfano wa akina Akilimali ndio uliotufikisha hapa tulipo. Nashauiri Yanga na Simba ziuzwe (zimilikiwe na mtu mmoja) zisiwe na wanachama bali mashabiki.Mkuu swala ni network tu, Simba na Yanga zina wanachama hadi mikoani, wakati timu nyingine zina-base kimikoa Simba na Yanga zinabakia kuwa timu za kitaifa coz hazijaanzishwa na wazalamo japo zimeanzia dar es salaam
Mkuu Makoye Matale leo kule Bukoba tunawaachia msiba mzito sana.
Pamoja kaka.
Cc Masuke ndetichia Baba V Mwita Maranya Revocatus Kashaga Kitoabu @ACCOUNTFULL na wadau wengine wote.
mkuu, kumbe leo inawezekana red card zikawepo JF, hizi mechi za mwisho kabla ya watani kukutana huwa zina presha sana.. ukifungwa tu balaa linaanzia hapo.
Mkuu, achana na Yanga, shabikia timu ya mtaa/ kitongoji/ tarafa/ kata/ wilaya/ mkoa wako.na hicho ndio huwa kinafanya ligi za wenzetu kuwa na ushindani wa kweli, kwani mashabiki huungana kwenye timu ya taifa, klabu ni timu inayotoka kwenye mkoa/jimbo lako, labda tutafika..
Nita furahiiiiiThemi Felix Moja Yanga hawajapata kitu na ni dakika ya 89 inaenda.