Timu ya chama chako...teh teh teh
Matokeo ya mwisho yamekuaje??naomba kujuzwa ya yanga kaitaba na simba taifa
rudi page ya 23
Tunarejea rasmi katika nafasi ya pili hadi tarehe 20 Oktoba tutakapomuondoa aliyekaa hapo kwa bao 3-0, yule Mhamiaji Haramu alivaa jezi ipi? Au ni ile aliyokufa nayo Mark Vivian Foe wa Cameroon? Kama ni yule hakuna kitu pale. Mnyama lazima atoke damu.
yanga kama siyo kununua mevhi wanashuka daraja, hakika pesa ya epa na sembe kutoka kwa riz1 na yusuph manji inaokoa jahazi..
teh,teh timu ya Mwigulu,Nape,Ridhiwani na Manji,teh,teh.full of gambas
Tatizo la yanga inaendeshwa kwa fedha za EPA na Madawa ya kulevya...Riz1 na ManjiMwenyekiti wa Simba ni chama gani vile?! Yasiyopenda magamba yanaongozwa na gamba, ajabu! Mnachuja mbu na kumeza ngamia! Hivi wanasimba mtakuwa wavivu wa kufikiri hadi lini? Achaneni michezo ibaki peke yake bila kuichanganya na siasa. Wapo wapinzani ni Yanga hadi kufa na wapo CCM ni Simba hadi kaburini, sasa hoja yenu iko wapi enyi uzao wa nyoka? Wenye fikra pevu pale Simba ni wachache mno! CC. Masuke & Crashwise.
Lini mtazilipa 6 - 0 na 5 - 0...OkwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiMkuu achana na speculations, watoa rushwa ni Azam na Simba hata RB zipo kwenye vyombo vya dola. Yanga ni timu isiyo na ila wala waa kazi ni moja tu kuzifunga timu nyingine including paka mwitu wa Msimbazi.
Tatizo la yanga inaendeshwa kwa fedha za EPA na Madawa ya kulevya...Riz1 na Manji
Lini mtazilipa 6 - 0 na 5 - 0...Okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kwa heshima na taazima naomba unikumbushe mechi gani mliwahi kutufunga goli zaidi ya tatu,Hatuna deni la 5-0, ninyi mlikuwa mnalipa kipigo hicho hicho tulichowacharaza huko nyuma. Tunalo deni la 6-0 pekee, tutalilipa mbele ya safari. Tunawadai makombe 6 ya ligi mtayapata lini? Tunawadai mechi 7 katika mechi zote tulizocheza na kuwafunga, mtazilipa lini? Nani kama Yanga? Chezea Yanga weye!
Kwa heshima na taazima naomba unikumbushe mechi gani mliwahi kutufunga goli zaidi ya tatu,
Asante
Teh teh teheee!duuh!kweli asiye na data haruhusiwi kuongea,umeua mkuu.Juni 1, 1968: Yanga 5-0 Sunderland (Simba). Wafungaji: Maulid Dilunga (dk. 18 & 43), Saleh Zimbwe (dk. 54 & 89) na Kitwana Manara (dk. 86), swali jingine tafadhali!
Mwenyekiti wa Simba ni chama gani vile?! Yasiyopenda magamba yanaongozwa na gamba, ajabu! Mnachuja mbu na kumeza ngamia! Hivi wanasimba mtakuwa wavivu wa kufikiri hadi lini? Achaneni michezo ibaki peke yake bila kuichanganya na siasa. Wapo wapinzani ni Yanga hadi kufa na wapo CCM ni Simba hadi kaburini, sasa hoja yenu iko wapi enyi uzao wa nyoka? Wenye fikra pevu pale Simba ni wachache mno! CC. Masuke & Crashwise.
Juni 1, 1968: Yanga 5-0 Sunderland (Simba). Wafungaji: Maulid Dilunga (dk. 18 & 43), Saleh Zimbwe (dk. 54 & 89) na Kitwana Manara (dk. 86), swali jingine tafadhali!