Mkuu ko wanaweza kukalia LIBOLO FC.
Mkuu Ngasa anaiandikia yanga bao la kwanza kwa kichwa baada ya kujitwishs mpirs uliorushwa ns Twite kutoka wingi ya kulia.
Simba wanakoswa bao hapa!da!
Mnyama ana pakatwa nakule kaitaba Mua unaizamisha meliTena ww omba sana mkuu, mana hata leo nmekuona upande wa pili ukitoka povu, kuwa makini ushuhudie mnyama akipakatwa mkuu.
Dakika 2 ngasa bao
Kabisaaa..
Yanga moja ngasa
Pamoja sana mkuu,nategemea update zako toka huko kaitaba.!!
Mkuu usiende nje ya kile ninachomaanisha..nadhani nikisema hawana mpira kwa lugha ya kimpira tunaelewana.
Simba wanakoswa bao hapa!da!
Mwisho wa picha, sareYanga moja ngasa .....tbc1
Mpira bado haujatulia,pengin labda ni kwa sbb ya uwanja pia,una mabondemabonde.
Mpira bado haujatulia,pengin labda ni kwa sbb ya uwanja pia,una mabondemabonde.
TZP piga hao mbwa wa Maharage fc.
huwa wanaazima mipira ya yanga..
Mkuu usiende nje ya kile ninachomaanisha..nadhani nikisema hawana mpira kwa lugha ya kimpira tunaelewana.
Makoye Matale said:Possession (%): Simba 67-33 TZP, kwa hisani ya AzTV.
Mwisho wa picha, sare