12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

dakika ya 25: hapa taifa mpira umesimama, mchezaji mmoja wa simba yupo chini
 
Nimemwangalia refa kifuani hana beji ya FIFA na hili limedhihirika baada ya kipa wa Prison kuguswa na mshambuliaji wa Simba huku refa akiruhusu mpira uendelee. Kazi ipo.

isije kuwa huyo refa ni Yule Kipunje anaechezesha na silaha za jadi.?
 
WABHEJASANA lete yanayojiri hapn CCM Kaitaba Stadium karibu kabisa na Coffee Hotel na KCU HQ.
 
Last edited by a moderator:
Mbona wanayo mingi tu wewe unafikiri mazoezi wanafanyia nini?

Mkuu usiende nje ya kile ninachomaanisha..nadhani nikisema hawana mpira kwa lugha ya kimpira tunaelewana.
 
Back
Top Bottom