12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

mkuu, kumbe leo inawezekana red card zikawepo JF, hizi mechi za mwisho kabla ya watani kukutana huwa zina presha sana.. ukifungwa tu balaa linaanzia hapo.
Mungu aniepushe na ban ktk kipindi hiki kigumu chakusubilia gemu la watani wa jadi.
 
Mkuu Crashwise punguza hasira, yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo kuna CC yako hapo juu. Ukiwa uwanjani ukachezewa faulo halafu refa hakuona nawe ukaijibu ile faulo na ukaonekana, lazima wewe utapewa red card. CC. MODS (fuatilieni posts zake).


Mkuu mbona leo watu wana jazba sana humu ndani?!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mandieta salamu zako zimenifikia sawia kabisa. Mimi 'najuaga' wewe ni mutu ya Azam FC sasa hii salamu yako inakaribia kunishangaza!


Mkuu nilikwambia tuje Bukoba umekataa nimekuja na gari tupu mkuu na dereva tu!!!Mzima lakini kaka?!
 
Last edited by a moderator:
Refa wa leo mechi ya simba ni simon Mbelwa
 
Dk ni ya 7 mpira ni mkali kweli kweli.mashambulizi yanakwenda pande zote.tuendelee kufuatilia mpambano huu ndani ya uwanj wa Taifa.
 
dakika ya kumi: ball possesion
simba:58
prison :42
 
Back
Top Bottom