12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

Mkuu me kwangu TMK, tena
chamanzi kulikua na mashamba yetu ya urithi (japokua kwasasa ni viwanja)
kwahiyo siwezi kupenda timu ya Ilala.

pamoja, ila wewe ni mwananchi, na timu ya wananchi inajulikana!
 
Round 4 [Sep 18]
Azam 1-1 Ashanti United
Ruvu Shooting 1-0 JKT Ruvu Stars
Coastal Union 1-1 Rhino Rangers
Kagera Sugar 2-1 JKT Oljoro
Mtibwa Sugar 0-0 Mbeya City
Simba 6-0 Mgambo JKT
Tanzania Prisons 1-1 Young Africans

UPO SAHIHI BWANA MAKOLE Matale, nitabadilisha as we move on! thanks and i apologize to all fans, source yangu imenidanganya
Huo ndio uwana michezo, ukijiona umeteleza unakubari sio kuendelea kuweka mbendeya (ubishi)
 
Last edited by a moderator:
Una akili sana kama Wanayanga, pale Simba uko wrongly placed, come back home Mkuu Masuke.

Teh teh teh! kwa hiyo ngosha ombasa Makoye Matale unataka kusema pale msimbazi ni 'mitunga' isipokuwa mimi? Ngoja Rage akusikie utajua kama anamiliki bastola au rungu.
 
MABINGWA WATARAJIWA, KIKOSI KINACHOANZA LEO
1.abeid dhaira
2.said nasoro cholo
3.omary awadh
4.gilbert kaze
5.joseph owino
6.jonas mkude
7.ramadhan singano
8.abdulhalim humud
9.edward cristopher
10.amis tambwe
11.haruna chanongo
mungu ibariki ssc
 
Mechi ya Bukoba ni ngumu sana kwa timu yangu, hata hivyo tutapata ushindi mwembamba ambao si haba.
 
Upo sahihi Mkuu, bora ushangilie timu ya kwenu.

kampen yako, kazi unayo, iwe iweje kagera anakufa leo.
YANGA na simba huwezi kuziondoa mioyoni mwa watu ghafla tu, kwa sababu ya timu za mikoa, hao wachezaji wanaocheza against hizo timu wanazipenda YANGA na Simba kutoka mioyon mwao.
 
Mdanganye aje ajiangushe kijingajinga ili kutafuta penati,atatolewa uwanjani na kusafirishwa moja kwa moja!

naomba kujua ni timu gani mpaka sasa hazijafungwa katika VPL mwaka huu 2013/14
 
Teh teh teh! kwa hiyo ngosha ombasa Makoye Matale unataka kusema pale msimbazi ni 'mitunga' isipokuwa mimi? Ngoja Rage akusikie utajua kama anamiliki bastola au rungu.

Mkuu Masuke ni kama vile unanitafutia ban! Sisemi zaidi ya kile nilichosema nisije nikaambiwa 'Mvuta bangi' niliyejichanganya na waungwana. CC. Crashwise & Co.
 
Last edited by a moderator:
Salama Mkuu.
Vp utakua taifa?
Mie nimetoka kidogo niko safarini nchi jirani.
All in all nategemea kila kitu kitakua poa hapo Kagera.

pamoja mkuu, mm itategmea kama ntawah kuingia mjini leo, mana niltoka kidgo, nikichelewa ntajibanza azam tv kwa kushirikiana na tbc ili nione penalt anazopewa mnyama koko.
 
Nasikia Tanzania prison wameahidi kutoa kipigo kizito kwa Simba leo,kwahiyo leo kuna kila dalili ya bingwa mtetezi wa kihistoria kurudi kwenye kiti chake rasmi.
 
Mkuu kwenye utabiri wako umechemka,Simba ndiye sare na Yanga anapata ushindi ni kuanzia goli 1 na kuendelea,mimi ndio nimewasili mwanza saivi naondoka kwenda Bukoba nitakuwa ndani ya uwanja wa Kaitaba LIVE,kuna watu huwa wanatuambia Live halafu wanasikiliza kupitia Redio ndio wanatupa matokeo,leo nitawaonyesha maana LIVE?

Pamoja sana mkuu...
 
Back
Top Bottom