Hahahahaah....!! Ule mkanda wa x hauna viwango vya kuingiza kiasi hicho cha pesa.
....matokeo yakiendelea kuwa hivihivi Jangwani hapatakalika.kagera 1 na yebo yebo 1
Magoli mepesi kama hayo yanakera sana.
Matokeo kutoka kaitaba Yanga 1-1 Kagera.
Batez kaumia cjui kama ataendelea hapa
Utaipenda hiyoMagoli mepesi kama hayo yanakera sana.
Mpira uishe tu....
Mkuu unamanisha kama hili, basi ni bonge la goli.
Tuwaombee dua wapate ushindiKagera sasa wamepata nguvu na wanaonana sana.
mkuu kama unao ni pm.au una link