Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Kupenda kubaya kweli, inafikia hatua kipofu unamwita chongo.Ngassa ni mashine, tuendelee kumchangia kwenye akaunti yake hadi aseme basi.
Kupenda kubaya kweli, inafikia hatua kipofu unamwita chongo.Ngassa ni mashine, tuendelee kumchangia kwenye akaunti yake hadi aseme basi.
Hacha uongo gapa ni 50 kwa 50
Hacha uongo gapa ni 50 kwa 50
Kupenda kubaya kweli, inafikia hatua kipofu unamwita chongo.
Batez kaumia cjui kama ataendelea hapa
Kwa taarifa yako mimi Yanga kuliko wewe na nimetoka Dar asubuhi ya leo kwa ajili ya mechi hii,we si hapa ni kwenu?!pili katika kuripoti mechi tunaweka ushabiki pembeni tunaeleza ukweli,jifunze!
Tupa nje hukoohBatez kaumia cjui kama ataendelea hapa
Ndiyo, Ngassa ni Value for Money (VfM) Dak. 46 Taifa, bila bila.
Ndiyo, Ngassa ni Value for Money (VfM) Dak. 46 Taifa, bila bila.
Mkuu jikite zaidi kutusimulia kinachotokea uwanjani acha malumbano yasoyokuwa NA tija.Kwa taarifa yako mimi Yanga kuliko wewe na nimetoka Dar asubuhi ya leo kwa ajili ya mechi hii,we si hapa ni kwenu?!pili katika kuripoti mechi tunaweka ushabiki pembeni tunaeleza ukweli,jifunze!
Taifa ushindi upo kwa mnyama.