12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

Ft: Simba 1 prison 0

simba wanajizatiti kileleni, hata wakipoteza mkechi ya yanga bado watakuwa kileleni
 
Mpira umekwisha.Simba 1-0 Prison.hongera wanamsimbaz.mfungaji wa goli la simba ni Jonathan Mkude.
 
Kun kituko hapa mchezaji wa kagera kashika mpira kwa makusudi akidhani amefanyiwa faulu na ngass,sasa wanamzonga mwamuzi,na mwamuzi hajampa kadi pamoja na kutoa faulu kwa yanga!
 
Kaitaba hauishi? Au wanatumia masaa ya Burundi?
 
Back
Top Bottom