12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

nasikia kijana anachangisha hela kwa ajili ya kulipa lile deni,ivi ule mkanda wa X hauwezi kuingiza mapato fasta fasta

it was confirmed hakuwa yeye ni mambo ya photoshop toka kwa wanazi wa simba kwa chuki zao binafsi bhana za kuwakataa
 
Mfungaji ni Godfrey wambura dakika ya 49,lilipigwa shuti kali na Temi Felex Kipa wa Yanga akauokoa kwa kuupiga haukwenda mbali Godfrey akamalizia kiulainiiiii!
 
Huyu refa wa mechi ya simba naona sasa analeta ushabiki wake, anainyima simba penati kama mbili za wazi
 
Back
Top Bottom