nasikia kijana anachangisha hela kwa ajili ya kulipa lile deni,ivi ule mkanda wa X hauwezi kuingiza mapata fasta fasta
Wachezaji wa Simba wanatakiwa kuchangamka; maamuzi yao ni mazito hasa wakati wa Kutoa Pasi.
mKUDE ANAFUNGA GOLI LA MWAKA HAPA
Dogo kafunga bao zuri kwa vile golikipa ni mbovu, kipa makini hawezi kuruhusu bao kama hilo.
acha masihala wewe, Mkude amefunga goli la msimu; siyo kwasababu ya ubora au ubovu wa Kipa, kipa yeyote mkali kufungwa goli kama hili ni obviously.Dogo kafunga bao zuri kwa vile golikipa ni mbovu, kipa makini hawezi kuruhusu bao kama hilo.
Lilikuwaje mkuu tusimulie kidogo basi.
Umeniona nimesimama ili unione vzr nina kilemba cha skaf ya Yanga, kumradhi kama nimekukosea ila ndo ukweli wenyewe
kupenda bhana! subiri siku si nyingi utaliona goli la karne!
ww hadi issue za ngasa ndio unaibuka..!
Golikipa ni mbovu kama aliyefungwa hili goli na huyu dogo wa Azam.
[/video]
Ilipigwa kona kwenda kwa TZP, beki mmoja akapiga kichwa kuokoa ule mpira hadi nje ya 18 ikamkuta mfungaji akaunganisha bila kutuliza hadi wavuni.
nilichokisema ndicho naona kinafanyika uwanjani, Simba iniume au isiniume hiyo habari haina nafasi kwenye uchambuzi wa soka. Tuendelee kuangalia mpira kiongoziah ah, inaonyesha simba inakuhuma sana, basi ingia uwanjan uwasaidie kwan apo ndo mwisho wa uwezo wa kibadeni
Mwisho wa mechi, Kagera rudisheni1-1 Yanga, Simba 1-1 TZp